Feberia
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 542
- 219
Walimu tena wa wilaya ya Mafia wamekosa mishahara yao ya August 2013 kwa baadhi yao ambao awali hawakuingiziwa mwezi July 2013 kwa kosa la kuchelewa kazini na hatimaye kuwalipa dirishani kwa utaratibu waliojipangia wao baada ya kuwasema moja moja na sasa wamewanyima mishahara tena na walimu hao wamesotea tena kweli hii BIG RESULT NOW itakuwa ndoto kwa uongozi huu.
Sababu za msingi wa kufanya hivi wala haujulikani maana walimu wapo kazini labda wawe na jingine na ukizingatia mishahara yenyewe imechelewa na tangazo la "piga wanaokaidi" lilitaka kila halmashauri kuwalipa watumishi wake tarehe 22 ya kila mwezi.