Walimu igeni haya kutoka kwa madaktari

structuralist

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,231
906
Katika kupita pita maeneo ya hosipiyali na vyuo vya afya nimegundua kuwa madaktari wengi wanapendda sana kuongea kingereza.
Mwanzo nikiwa mazingira ya hospitali ya KCMC na wakati mwingine MAWENZI zote za.mjini.moshi nikawa naona madaktari wakija kuona wagonjwa wanongea kingereza na sio kiswahili
Nikajua hapa labda lengo ni kuficha hali ya mgonjwa kwakuwa mara nyingi huwa wanaongea mbele ya mgonjwa na ndugu zake.

Hata hivyo nikiwa katika migahawa yao hasa pale KCMC nawaona pia madaktari wanaongea kingereza. Hapa hakuna wa kumficha kwakuwa kwa asilimia.kubwa waliopo hao ni madaktari.wenzao. Hata ukiwakuta wanatembea kwemye korido pia utasikia wanazungumza lugja.ya malkia.

Sasa naijuiliza hawa madaktari uthubuti huu weutoa wapi ili hali mashu mengi hayana utaratibu huu?
Nadhani ni.wakati mzuri sasa kwa walimu kuiga utamaduni huu mzuri. Natambua kuwa kuna wale watako sema ni utumwa wa kifikira lakini kwakuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia ni kingereza hakuna namna nyongine.zaidi ya kutumia mbinu tofauti tofauti ili kuimudu.

Chonde chonde walimu fanyeni.mazungumzo ofisini.kwenu na kwingineko kwa kingereza. Hii itwavutia sana wanafunzi na kuiga kutoka kwenu. Kuwa na vibao vingi vya "Speak English" haisaidii kama wahusika muhimu hawawi mfano mzuri wa kuigwa.

If doctors can,why can't teachers.............?( teh teh teh)
 
Mkuu nipe umuhimu wa madaktari kuongea kiengereza katika kuleta ufanisi katika kazi yao
 
Ha ha ha! Nadhani medical terms nyingi ziko katika Kiingereza na kilatini, vitabu vipo in English, hata Treatment guidelines za wizara ya afya zipo in English. Hawawezi kukwepa kuzungumza kiingereza. Kwa walimu sijui shida ni nini ... Watakuja kujisemea.
 
Mkuu inasaidia mgojwa kutokujua kinachongelewa hasa.pale amabpo kingeweza kuleta mstuko kwa mgojwa au ndugu zake.
Pili mazingira hayo yanawajengea madaktari hamasa ya kusoma vitabu zaidi ili kujua lugha kwa ufasaha zaidi. Hii huongeza maarifa na kuboresha utendaji kazi pamoja na kurahisisha usomaji wao.
 
Ha ha ha! Nadhani medical terms nyingi ziko katika Kiingereza na kilatini, vitabu vipo in English, hata Treatment guidelines za wizara ya afya zipo in English. Hawawezi kukwepa kuzungumza kiingereza. Kwa walimu sijui shida ni nini ... Watakuja kujisemea.
Bosi ni kweli kabisa ila na mazingira ya ualimu ni.hivyo hivyo. Mwalimu kujua kingereza kwake sio ombi la lazima kwakuwa kazi yake inamtaka atumie kingereza.
Inasikitisha pale unapokuta masomo karibu yote katika shule za.kawaida za sekobdari yanafundishwa kwa kutumi akiswahili. Yani unakuta hata mwl wa english naye anafundisha watoto kwa kiswahili sasa hapa watoto si wanazidi kudidimizwa kabisa.
Nadhani hii ni moja ya sababu kubwa kabisa ya wanafunzi wengi kufeli.
 
Ni kweli uyasemayo. Lugha ya malkia ni taabu.
 
Mwalimu nae amefundishwa na mwalimu wake kama yeye mwenyewe,anaeongea kiswahili hivyo hivyo ila akimfundisha kiingereza kwahiyo nae kwakuwa ni mwalimu ambae hapo kabla aliona mwalimu wake alivyokuwa anaishi nae ameamua kuishi hivyo hivyo! Tofauti na madaktari,hata kumtajia tu mwenzie panadol zimeisha tayari amezungumza neno moja la kiingereza.
 
Back
Top Bottom