structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,231
- 906
- Thread starter
- #41
Mkuu hakuna mahali sera.inaposema kingereza kitatumika kama lugha ya kigeni. Sera inasema kingereza kitaendelea kutumika kama lugha ya kufundishia na kujifunzia kwa ngazi.nzote kuanzia msingi hadi chuo kikuu. Nakushauri uipitie tena mkuuSera ya elimu iliyoziduliwa 2014 inasema kiswahili kitatumika kama lugha ya kufundishia kuanzia msingi hadi chuo.
Na kingeleza kitatumika kama lugha ya kigeni na kitafundishwa kama somo na sio lugha ya kujifunzia.