Walimu changa la macho tena

hivi inakuwaje kwa mwalimu aliyeomba akiwa na Degree na akapigwa chini?kuna vigezo gani vya watu kupangiwa zaidi ya kuwa na cheti kizuri!

M2 wangu hawa wote waliopangwa ni fresh from vyuo so za kwenu bado subiria nadhani mpaka mwishoni mwa february.
 
M2 wangu hawa wote waliopangwa ni fresh from vyuo so za kwenu bado subiria nadhani mpaka mwishoni mwa february.

Thnx mkuu ingawa si mimi nnayesikilizia,ni sista wangu.Anyway at least hii inatia moyo.Thnx again
 
ndugu umedanganywa waliopangwa ni fresh na wasio fresh (inservice) ninao ushahidi wa wale nilio soma nao

M2 wangu me nadhan huyo sister alimaliza miaka ya nyuma so akaomba mwaka huu maana wapo wa namna hii pia.
 
Back
Top Bottom