Walid Aman Kabourou ajitosa uenyekiti CCM Kigoma

Mkuu CS,
Hawezi kusikika kwa sababu ukiwa Mbunge wa Afrika Mashariki hutumikii wananchi moja kwa moja. Yani hujihusishi na Local Politics matokeo yake ndio amekufa kisiasa. Ndiyo maana Dk Harisson Mwakyembe alitoka kule akaja kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri.

TUMBIRI (PhD In Progess at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form Six National Exams),

tumbiri@jamiiforums.com

Nsio maana naona akina ShyRose ni kama hawako tena, hahahaha, hakufai huko bana.
 
TUMBIRI umesoma sana naomba kutumia jina lako nigombee vyeo ndani ya chama

Mkuu Mharakati,
Haa ha ha haa haa! Unataka kuwa kama Samwel Chitalilo, yule Mbunge wa zamani wa Buchosa! Ukifanya hivyo itakugharimu kisiasa Mkuu wangu. Just use your Qualification. Kiongozi siyo Elimu aliyonayo. Kiongozi ni kuonyesha njia. Cha muhimu ni busara, hekima na weledi. Haya mavyeti tunatafuta kwa sababu zingine.

TUMBIRI (PhD, University of HULL),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Ndio maana naona akina ShyRose ni kama hawako tena, hahahaha, hakufai huko bana.

Ndiyo hivyo CS, kile ni kichochoro cha kusuka CV then wanapata base ya kuibukia kwenye Local Politics. Ndiyo maana hata W. J. Malecela nae alitaka aanzie huko then aibukie kwenye Ubunge wa Jamhuri. Kina Didas Masaburi, ShyRose, Makongoro Nyerere and the like utawaona 2015 wakigombea majimbo.
 
Nimekupata, na inaelekea huko hakuna masilahi kama ya mjengoni Dodoma
 
kabourou.jpg

DK. KABOUROU AJITOSA UENYEKITI KIGOMA

Makada saba wa CCM wamerejesha fomu kuchuana kugombea nafasi ya uenyekiti wa Mkoa wa Kigoma, akiwemo Dk. Aman Walid Kabourou.

Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma, Mohamed Nyawenga, alisema kuwa waliorejesha fomu hizo ni Azim Seleman Premji, ambaye anatetea kiti chake,
Nashoni William Bidyangunze, William Ntahindala Ruturi, Nunu Mrisho Mwamba, Dk. Aman Walidi Kabourou, Michael Mbwano Ndereka na Edgar Mkosamali.

Alisema wagombea wote kwa pamoja walichukua fomu na kuzirudisha na kwamba hakuna tatizo lolote lililojitokeza katika uchukuaji fomu na urudishaji.

Jamani chonde chonde na hawa Raia wa nchi jirani kuwapa madaraka nchini kwetu..ooohooooooo!! Yatatutokea puani siku za mbeleni.
 
Mkuu CS,
Hawezi kusikika kwa sababu ukiwa Mbunge wa Afrika Mashariki hutumikii wananchi moja kwa moja. Yani hujihusishi na Local Politics matokeo yake ndio amekufa kisiasa. Ndiyo maana Dk Harisson Mwakyembe alitoka kule akaja kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri.

TUMBIRI (PhD In Progess at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form Six National Exams),

tumbiri@jamiiforums.com

so what
 
first best student in form six exam,karamagi alinitenda niko nyumbani nafuga kuku.
 
Kgm kuna watu walikufa wengine mpaka lei wana vilema vilivyotokana na kumpigania huyu mtu, alikuwa akitoka bungen karibu mji mzima unakuja kumpokea, toka alipo hamia ccm anaonekani ni mmoja ya wasaliti wakubwa wa wananch wa kgm na hilo jina hawatak hta kulisikia, kwa kugombea nafasi hiyo wana kgm bila shaka watakuwa wamepata nafasi nzuri ya kumwazibu adui yao, na kwa mtazamo wangu naona hili ndo litakuwa kabuli la safar ya dr kabulu kisiasa.
 
Mkuu Mharakati,
Haa ha ha haa haa! Unataka kuwa kama Samwel Chitalilo, yule Mbunge wa zamani wa Buchosa! Ukifanya hivyo itakugharimu kisiasa Mkuu wangu. Just use your Qualification. Kiongozi siyo Elimu aliyonayo. Kiongozi ni kuonyesha njia. Cha muhimu ni busara, hekima na weledi. Haya mavyeti tunatafuta kwa sababu zingine.

TUMBIRI (PhD, University of HULL),
tumbiri@jamiiforums.com

ahsante kaka..kiongozi ni vision halafu unachukua technocrats wa kujaza nafasi kuifanyia kazi hiyo vision...sawa sawa, ila kama bila elimu vision inaweza kua flawed from the start halafu kuna ile inferiority complex ya wasiokua na elimu sana kuona kama wanadharaulika na wenye elimu kubwa zaidi. Nafikiri kama kiongozi unabidi uwe na credentials sawa au kusiwe na gap kubwa sana na wenzako ndani ya uongozi.
 
Jina la Dr. Amani Walid Kaburu ni miongoni mwa majina yaliyopitishwa na Halmashauri kuu ya CCM Dodoma kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma.
 
Rest in everlasting fire ndumilakuwili Kabourou.
 
Back
Top Bottom