Wali wa nazi

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
Mapishi ya wali wa nazi:
VIFAA
Mchele kg 1
Nazi 2 au pkt 2 nazi ya maji
Chumvi kijiko 1 cha chakula
Jira kijiko 1cha chakula
Maji 1/2 lita
JINSI YA KUANDAA
Osha mchele vizuri,chuja mchanga.
Bandika sufuri yenye nusu lt ya maji safi yakipata moto weka nazi yako jira na chumvi kisha koroga hadi yachemke.Kisha tumbukiza mchele wako funika hakikisha moto si mkali sana.Subiri kwa dakika 20 wali wako utakuwa tayari. waweza kula kwa mboga yoyote.
 
Mkuu sawa hiyo dakika 20 ni kwa jeko lipi la gesi au mchina maana langu ni la china
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom