Wale wanaotaka kupita kupitia mandela road

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Mandela road ime jam, magari yamepigana pini buguruni sheli, trafic aliyekuwa anaongoza magar kala kona, kuna mvua kubwa. Kama unampango wakupita njia hii muda huu, plse tafuta njia nyingine mbadala.
 
Thanx.
Bongo tushazoea folen, hata mawingu yakionekana tu foleni inaanza.
 
Mandela road ime jam, magari yamepigana pini buguruni sheli, trafic aliyekuwa anaongoza magar kala kona, kuna mvua kubwa. Kama unampango wakupita njia hii muda huu, plse tafuta njia nyingine mbadala.

ur gudboy
kp t up
 
hivi ipi ni njiua mbadala kwangu ambaye tayari nipo hapa buguruni ?
 
Mandela road ime jam, magari yamepigana pini buguruni sheli, trafic aliyekuwa anaongoza magar kala kona, kuna mvua kubwa. Kama unampango wakupita njia hii muda huu, plse tafuta njia nyingine mbadala.

Asante sana kwa ujumbe....
 
Tanzania, hasa Dar es salaam, kunatakiwa kuwe na service ya Traffic info (RDS) kupitia radio stations zilizopo. Hii service ipo Ulaya na nchi zingine ambapo kama kuna habari yeyote ya traffic km. ajali, jam etc, matangazo ya kawaida yanakatika, na habari za traffic kuingilia kati.
 
Ndugu Watanzania nyie mbona sio wavumilivu tutawajengea fly overs hivyo msiwe na wasiwasi traffic jam haitakuwepo tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom