Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

duuuhh,nakumbuka hiyo siku ya gulio katelelo tulisoma siku ambayo kijijin kwetu ilikuwni siku ya gulio
 
1.ajali ya moto
2.kibanga ampiga mkoloni
3.usiku na mchana
4.sikukuu ya vijana
5.kinango na nzige
6.sadiki na sikiri
7.mwenge
8.twende tukawinde
9.adui wa afya
10.uchaguzi shuleni
11.nondo mla watu
12.jogoo aliye sema
13.musa mtoto shujaa
14.saba saba
15.wadudu wana maajabu
16.sisitaki mbichi hizi
17.usalama barabarani
18.azimio la arusha
19.kimwaga mdadisi
20.usiku wa mbalamwezi
21.wanyama wa porini
22.sisi sote ni ndugu
23.kijiji chetu
darasa la tatu A mpooo?
 
1.ajali ya moto
2.kibanga ampiga mkoloni
3.usiku na mchana
4.sikukuu ya vijana
5.kinango na nzige
6.sadiki na sikiri
7.mwenge
8.twende tukawinde
9.adui wa afya
10.uchaguzi shuleni
11.nondo mla watu
12.jogoo aliye sema
13.musa mtoto shujaa
14.saba saba
15.wadudu wana maajabu
16.sisitaki mbichi hizi
17.usalama barabarani
18.azimio la arusha
19.kimwaga mdadisi
20.usiku wa mbalamwezi
21.wanyama wa porini
22.sisi sote ni ndugu
23.kijiji chetu
darasa la tatu A mpooo?

Na yule aliekua anawabeba kuku kchwa chini miguu juu nimesahau jina la ile hadith,ila nmekumbuka mbali jamani
 
1&2 tie my shoe, 3&4 shut the door,5&6 count the sticks,7&8 put them straight,9&10 a big fat hen

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chopeko na mnofu, sungura na fisi(cha wote na cha wageni), mfalme ana masikio marefu kama ya simba, juma na roza, Ali mtoto mtundu
 
1.ajali ya moto
2.kibanga ampiga mkoloni
3.usiku na mchana
4.sikukuu ya vijana
5.kinango na nzige
6.sadiki na sikiri
7.mwenge
8.twende tukawinde
9.adui wa afya
10.uchaguzi shuleni
11.nondo mla watu
12.jogoo aliye sema
13.musa mtoto shujaa
14.saba saba
15.wadudu wana maajabu
16.sisitaki mbichi hizi
17.usalama barabarani
18.azimio la arusha
19.kimwaga mdadisi
20.usiku wa mbalamwezi
21.wanyama wa porini
22.sisi sote ni ndugu
23.kijiji chetu
darasa la tatu A mpooo?

like,kweli wewe mtisho,pamoja sana
 
Back
Top Bottom