Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
rosa mistika.
Shamba la mfalme katili.
Shamba la mfalme katili.
sungura afahamika, ujanja kajijazia
wenzake anawacheka, sungura huwazomea
ila siku ikafika, ya sungura kuumia X2....
hapo vp nimekumbusha mbali eeh!
kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!
aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!
Msondo na Ottu
Mandojo na Domokaya
Chidi Benzi atoboa pua
Wassira asinzia Bungeni
sasa hizi zinahusiana nini na mada ya mdau
mangasiniPamela na kipiniugali na dagaamzee tola mfalme ngurumokijana yasini
bila kusahau sikiri mimi maskini uvivu wangu nyumbani
Aaah, Sadiki na Sikiri, Kitalolo umenikumbusha hii niliisahau , "sadiki sasa ashiba chakula kingi kwa baba....."
sasa hizi zinahusiana nini na mada ya mdau
Sasa kaka km ndo vitabu nilivyovisoma shuleni kwetu niandike nini? Sisis shuleni kwetu tumesoma current issues zaidi, bt sorry km una interest kwenye hizo Sura za kitabu vhangu cha primary.
kwa wale tuliosoma zile shule zetu maneno haya si mapya
1.Hawafu mwenye nguvu
2.Moto na maji
3.Juma na uledi
4.Siku ya gulio
5.Pamela na kipini
6. kuku na yai
7.jogoo wa ajabu
Nimekukumbusha mbali
1. Jogoo wa ajabu
2. upa2 shujaa
3. sikulamba sukari
Swadakta mkuu. Wewe ndiyo nilikuwa nakusubiri. Khabari za saa hizi mkubwa mwenzangu!!!!kweli kabisa sijui kama wanajua habari za
Juma na roza
manenge na mandawa
kibanga ampiga mkoloni
siku ya gulio katerero
na lile shairi maarufu la karudi baba mmoja.....!!!
aaah, enzi hizo, wenyewe hatujui Google wala Wikipedia!!!
bila kusahau sikiri mimi maskini uvivu wangu nyumbani