Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

sungura afahamika, ujanja kajijazia
wenzake anawacheka, sungura huwazomea
ila siku ikafika, ya sungura kuumia X2....
hapo vp nimekumbusha mbali eeh!
 
tola alia gizan
mpapai na mtete
pepe mwanangu huna masikio
sikuelewi
watoto wageuka mawe
mkutano wa wanyama
 
1.Jogoo Aliyesema
2.Fikiri na Nduguze
3.Nondo Mla watu
4.Sizitaki Mbichi hizi
5.Lindu Amwokoa Kapilima

Hao wote wa juzi juzi.......wewe sasa ndio tunaongea lugha moja......nondo mla watu alikuwa ananipa mawazo........usiku ukiingia mie hoi.......hivi alikuwa anaishi ziwa Jipe eeh......?
 
Back
Top Bottom