Wale wa MUCCOBS tujuane jamani

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Umoja ni nguvu,tujuane ili tutakapofika chuoni mwendo ni makamuzi ya ukweli acheni kuwa kimya,ndugu zangu.
 
nipo hapa mwenyewe hapo muccobs ,nafanya mpango wa kutafuta chemba ya msuli mapemaaaaaà by dogo mpigamsuli
 
Da na mi nakuja kuliunga hapo,vp lakin lyf kiujumla likoje?vp geto la makamuzi ni cost xna au? 2fahamishane kwa wale wageni
 
KAMA HUJAZOEA MSULI YATIMA KAMA TBRBOYS,KIBAHA,MZUMBE,ILBORU,TOSA,MINAKI,N.K LAZMA ULIE LAKINI KWA SIsi TULIOZOEA KUSOM NOTES WENYEW MIKESHO MWANZO MWISHO ,N.B HAKUNA RUHUSA YA KUPITWA KIJINGAKIJINGA KAMA HATA BIFU UNAWEKA
 
yani wewe una mambo ya kijinga sana,nadhan umefaulu kwa bahati tu.
 
Upo kitivo gani mana 2po ila sasa mbona m2 ni weng tutajuana wote kweli au ki fuculty labda by J.M- BSc.BCIT 2012/2013
 
wakubwa 2julishane 2naripoti linI? coz mm nina machungu na msuli wa BAF mbaya.
 
kuna ndugu yangu amenipa username yake na pasword yake nimuangalizie matokeo nimeingia kumuangalizia katika admission status nmekuta not yet processed. hii inamaanisha nini.? na katika list ya wasiochaguliwa jina lake halipo halikadhalika katika list ya waliomiss kujaza info zao jina lake halipo. msaada please.
 
KAMA HUJAZOEA MSULI YATIMA KAMA TBRBOYS,KIBAHA,MZUMBE,ILBORU,TOSA,MINAKI,N.K LAZMA ULIE LAKINI KWA SIsi TULIOZOEA KUSOM NOTES WENYEW MIKESHO MWANZO MWISHO ,N.B HAKUNA RUHUSA YA KUPITWA KIJINGAKIJINGA KAMA HATA BIFU UNAWEKA

Mdogo wangu chuo hakuna kushindana...kwani hakuna wa kwanza wala wa mwisho.
 
MUCCOBS hostel ni za shida kwa urahisi tu ukifika wewe tafuta hostel maeneo ya OFF CAMPUS. Kwani kama unategemea kupata IN CAMPUS nakuhakikishia ni ngumu sana kupata. Kwani vyumba vya ndani vichache sana na wanafunzi ni wengi,na first priority ni kwa wasichana. Pia kuhusu tarehe ya kufungua chuo,tembelea website ambayo ni www.muccobs.ac.tz hapo utaweza kudownload almanac ya chuo.
 
We wa BAF 2juane coz nipo na ww,achana na huyo anaeleza mambo ya ilboru na kibaha,kwani cc 2lifeli ndio 2kapangiwa mucobs!msuli unatofautiana na vichwa.
 
KAMA HUJAZOEA MSULI YATIMA KAMA TBRBOYS,KIBAHA,MZUMBE,ILBORU,TOSA,MINAKI,N.K LAZMA ULIE LAKINI KWA SIsi TULIOZOEA KUSOM NOTES WENYEW MIKESHO MWANZO MWISHO ,N.B HAKUNA RUHUSA YA KUPITWA KIJINGAKIJINGA KAMA HATA BIFU UNAWEKA

Huyu dogo ni hopeless,i predict atapata sup za kutosha
 
Waambie vijana! Fainali kitaani, watu wana gentleman pass kama JK wanawaendesha wenye ma-GPA yao sijui ya 9 manake nahisi 5 wameivuka!
Mdogo wangu chuo hakuna kushindana...kwani hakuna wa kwanza wala wa mwisho.
 
kuna ndugu yangu amenipa username yake na pasword yake nimuangalizie matokeo nimeingia kumuangalizia katika admission status nmekuta not yet processed. hii inamaanisha nini.? na katika list ya wasiochaguliwa jina lake halipo halikadhalika katika list ya waliomiss kujaza info zao jina lake halipo. msaada please.

ingia kwenye my selection status ndo mpango mzima.
 
We wa BAF 2juane coz nipo na ww,achana na huyo anaeleza mambo ya ilboru na kibaha,kwani cc 2lifeli ndio 2kapangiwa mucobs!msuli unatofautiana na vichwa.

jamaa ana mambo ya A-level,BAF 2juane@jemsi
 
Back
Top Bottom