Wale wa Microfinance: Tupeane mbinu za kuwakabili loan defaulters pamoja na kung'amua soko anuai!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Mods naombeni uzi huu uwe sticky kwa manufaa ya wengi.

Maisha ya mijini hususani miji mikubwa kama Dsm mikopo ya hapa na pale ni jambo la kawaida sana. Riba za 60%, 50%, 40%, na kuendelea ni jambo la kawaida sana kwa hapa Dsm.

Sasa kuna baadhi ya changamoto kwa upande wa dhamana. Wengi tunaweka magari, wengine vitu vya dhamani kubwa na kadhalika ili tupate mikopo. Si jambo geni sana kushindwa kurejesha mikopo hasa pale unapowekewa compound interest yaani riba ongezeko (sio kiswahili rasmi).

Hebu tushirikishane kupeana abc namna ya kudili na loan defaulters, pia mipango namna ya kurejesha kwa wakati ili kuepukana na kuchukuliwa kwa dhamana zetu. Bado sijajua hasa namna gani hawa players wa hili soko wanavyokomaa na hawa wakimbia madeni; naona risk ni kubwa mno lkn jamaa wanaendelea kukomaa tu.

Twende mbali pia tuelezane ni taasisi gani ipo rafiki sana wakati wa mkopo wa dharura (wa mjini tunafahamu uzito wa dharura).

Naomba iwasilishwe mbele yenu.
 
Hii biashara imekua ngum sana hasa hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya tano kwan biashara nyingi zimeyumba ila njia ninayoiona ni sahihi ya kuendelea kukopesha ni kuchukua dhamana na kukaa nayo mwenyw mpaka mkopo utakapomalizka kulipwa
 
Kujiokoa na defaults ni kupunguza riba. Mfano mimi nimeamua kuwapunguzia riba kutoka 15% mpaka 9% defaulters wamepungua kwa asilimia 90 toka January.
Mkuu ili kushusha riba hivi nahisi lazma capital iwe kubwa ili faida ionekane ila kwa wachanga unawashauri nini sijui
 
Kujiokoa na defaults ni kupunguza riba. Mfano mimi nimeamua kuwapunguzia riba kutoka 15% mpaka 9% defaulters wamepungua kwa asilimia 90 toka January.
Nina swali; nina nyumba za kupangisha lakini sijakamilisha finishing yote, jee kwa kampuni kama yako naweza kukopa kumalizia na kodi uchukuwe wewe mpaka deni liishe...huduma kama hii inaweza kukubalika katika kampuni yako??
 
Swali zuri sana
 
ongeza repayment period, chukua dhamana zinazouzika kirahisi punguza riba, kaa na mteja mjadili jinsi ya kkulipa deni lake
1. Ongeza repayment period......maana yake mteja aongezewe muda zaidi wa kutumikia mkopo wake; still risk bado ipo ila kama nakuelewa fulani hv

2. Chukua dhamana zinazouzika kirahisi.....hebu jaribu kuorodhesha baadhi kwa mfano

3. Kaa na mteja mjadili namna ya kulipa deni lake.....hahahaha wengine nasikia hata hawapokei simu pindi wakibanwa
 
Nina swali; nina nyumba za kupangisha lakini sijakamilisha finishing yote, jee kwa kampuni kama yako naweza kukopa kumalizia na kodi uchukuwe wewe mpaka deni liishe...huduma kama hii inaweza kukubalika katika kampuni yako??
Mmmhhh kwa bongo nadhani bora uende benki kabisa.....hz microfinance ndogo ndogo mmmhhh naona tabu tu.
 
Karibuni sana
 
Attachments

  • Screenshot_20170518-050214.png
    Screenshot_20170518-050214.png
    85.5 KB · Views: 76
  • Screenshot_20170518-050203.png
    Screenshot_20170518-050203.png
    105.8 KB · Views: 43
Nina swali; nina nyumba za kupangisha lakini sijakamilisha finishing yote, jee kwa kampuni kama yako naweza kukopa kumalizia na kodi uchukuwe wewe mpaka deni liishe...huduma kama hii inaweza kukubalika katika kampuni yako??
Siwezi. Ninapokopesha lazima nihakikishe nimeona chanzo chako cha kipato cha moja kwa moja, kitakachosaidia marejesho kila mwezi.
 
Karibuni sana
Mfanyakazi yupi utamkopesha 50,000, 000.? Acheni kuigiza uongo.....

Mimi nakopesha wafanyakazi na wafanya biashara ila mpaka sasa sijawahi kupata mfanyakazi niliyemkopesha zaidi ya M3 hata hivyo hao wa M tatu nikama wakurugenzi wa makampuni makubwa ambao net take home yao unakuta ni M 2.5 mpaka 3 pia. Wengine wanaishia na 1 mpaka 1.5,
kwa wafanya biashara ni issue nyingine, hata 50 au zaidi anaweza kupata kulingana na mazingira.
 
Tanzania mna access a persons credit history ?na mkona product inayoitwa log book loan where a client gives his log book as security? Do u also hav a product called cheque discounting where an institution is able to offer you money on the spot instead ya kungoja maturity of the cheque?
 
Nina swali; nina nyumba za kupangisha lakini sijakamilisha finishing yote, jee kwa kampuni kama yako naweza kukopa kumalizia na kodi uchukuwe wewe mpaka deni liishe...huduma kama hii inaweza kukubalika katika kampuni yako??
 
Mkiwa mnaomba kumkopesha mtu mnakuja kwa lugha tamu kweli kweli!! Sasa rejesho lichelewe siku mbili ndio mnakua mbwa mwitu mwenye njaa!! Yaani kama hamjua baba jeska kabana uchumi vile!!
 
Back
Top Bottom