Wale wa mbeya university of science & technology (must) hapa

mimi nasoma Mechanical eng ktk chuo cha taifa cha usafirishaji ngazi ya OD Diplm mwaka wa kwanza Vip mipango ya kuhamia mwaka wa pili hapo wanapoke
 
nataka ni join hapo bachelor ya computer vp walimu wapo au mizinguo tu kama vyuo vingine vya serikali?:cool2:
 
Back
Top Bottom