Wale tuliotumia internet ya voda mwaka 2011 tulifaidi sana

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,612
8,746
Na kumbuka miaka hiyo ukiunga kifurushi cha internet unlimited cha wiki elfu 10. Unatumia mpaka unasahau na kwa mwezi 30.

Ila kipindi hiko mambo ya app kasi za utumiaji data ilikuwa mdogo ukilinganisha na app za sasa na mifumo mipya.

Facebook ukidownload ilikuwa 70MB app yake leo facebook ukidownload 450MB app.

Kupdate iphone ilikuwa file 1.2 gb leo file 4-6.8gb.

Windows xp na 7 update zake zilikuwa sio kubwa sana ukilinganisha na windows 11 ya leo kila siku.
 
Back
Top Bottom