Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

Ndioompwaaaa katamuuuu balaaa walitiondoleaa ...zetu bana m ningeshauri wamwonyeshe jinsi ya kuboresha zaidi
Jamaa akili nyingi sana.
Hana tofauti na wale Jamaa na Itigi kule kuna Kuku anapaja mbuzi hafiki😀😀😀😀😀
 
Unataka kulefusha mjadala?

Nikujibu kwa kifupi…nani amekwambia nakula mboga za kununua? My friend, nimezungukwa na wakulima’ wakulima product za SUA, wanaolima kimaandishi na kiuhalisia…ABC ninazo nyingi sana.

Takataka pekee nayokula ni chips mayai, na soda… na soseji kwa nadra sana
Depal kwani hizo mboga unapewa bure?
 
Hivi yule wa Tinde bado yupo?
Mkuu kuna sehemu mbele ya Itigi ni kituo maarufu sana cha Train letu la kwenda Baraa..pale pana kuku hujawahi ona.

Kuna jamaa na familia miaka ya 2007 walikula kisamvu pale...😀😀😀 na kuku wa kukaangaa..aisee waliharisha mpaka tunafika Dodoma hali zilikuwa mbayaaa..
Kuku wa vile sijawahi ona hii Tanzania😀😀😀
 
Hii kitu, Waliosema ni Haramu ..kuna namna walikula hii wakatenda dhambi mbele za Bwana.
Naagiza iandaliwe mchana.
Unajuaaa kisa cha kuita harambee
Huumzigo ulikuwa mdogo enzi hizo na master kuhisi anaweza kuwa anamisi akatangaza haramuuuu

Umenikumbusha mbali she mmoja pale magomen rip alikuwa akiitisha vikao na wenzio wanagaiwa chupa za soda yeye anapelekewa kopo la koka limefunguliqa kumbe ndani kuna mzigo

Jamaa kila akiendeleea kuhutubiaa anachekesha watu .....siku ya kuja kushtuka too late....
 
Mkuu kuna sehemu mbele ya Itigi ni kituo maarufu sana cha Train letu la kwenda Baraa..pale pana kuku hujawahi ona.

Kuna jamaa na familia miaka ya 2007 walikula kisamvu pale...😀😀😀 na kuku wa kukaangaa..aisee waliharisha mpaka tunafika Dodoma hali zilikuwa mbayaaa..
Kuku wa vile sijawahi ona hii Tanzania😀😀😀
Labda walikula ndege John.
 
Haswaaa.mpwaa
sifa no 1
Insafisha dhambi kubwaa na ndogo

2.inarekebisha ndoa zilizo icu na zenye msuguano kama una matatizo ya ndoa mpeleke mwenzi mkaonje hii kama ajakupa syyle zote sikuhio

3.&4 nisitiri mpaka 2024 mpwaaaa wasijeongezeka wateja mwakampya tukakosaa chakula tar 1 jan
Insafisha dhambi kubwaa na ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    48.6 KB · Views: 2
asikwambiemtu banaaaa
Kitokachoo ndioo haramuuu patelleaaa mbaliii
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    13.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom