Ndoa ni hasara kwa mwanaume, faida kwa Mwanamke!

Hakuna mtu wa kukusaidia maisha yako as a man hata kama Mwanamke wako ni mtoto wa Rais...

Mwanaume ni kufight kwa ajili ya maisha yako bro

As a man you only have God and yourself to save you,all the rest are against You!

Pambana kufa kiume... elewa upo mwenyewe basi...

Hakuna kuingia Kwenye makubaliano yoyote yale na Mwanamke...

Ni kosa kwa mwanaume kuwaza Kuoa Mwanamke wa kumsaidia kiuchumi

Chako chako bro, chake chake huko.
Je jasho lako atalila Mtu mwingine
Hawa parasites wanaokuja kwa kisingizio cha upendo!

Kwanza Upendo wanaujua basi zaidi ya janjajanja,uongo, unafiki,uhuni tu na manipulation...

Kwa mwanaume lazima uwe na Vielement vya ubinafsi, dharau, roho mbaya, chuki nao kidogoo kwa wanawake na Kuwachukia kidogo ndipo utawaweza...

Nenda nao kwa upendo upendo uone... A little hate asee!
Mkuu unaonekana unaexperience nahizi mambo,umeongea kwahisia Sana mkuu
 
Kuna jamaa yangu yeye mpaka alijihisi ni hanithi kumbe kamchoka mwanamke wake aliyekuwa na kiburi, hila, ujeuri na dharau, of recent kila akikutana naye kitandani baada ya kuwa pamoja kwa miaka kumi ngoma haidindi kabisa ila akienda nje anapiga mashine mchepuko wake hadi unakimbia unaacha chupi kwa msela.
Ubongo wahuyo jamaa ushanitafsri mkewe kama adui,ndio maana ningumu kudinda nahilo kiko wazi ,ngumu mwanamke mwenye Tabia tajwa hapo juu,ukashiriki nae mapenzi kwahamu au juhudi au bashasha zote ,kwahyo mkuu nikweli kabisa
 
Inferiority complex ndo inamsumbua kutokana na kipato cha mke wake.

Anaanza cheap mentalities kwamba mke wake atakuwa anagongwa nje, wala mafanikio yake hayatokani na elimu, bidii nk.

Pia mfumo dume utakuwa unamhangaisha si bure.

Believe me, cheo hakimfanyi mwanamke kumdharau mwanamme. Muanzilishi ni mwanamme na anajificha katika kivuli cha mafanikio ya mke wake kwamba mafanikio yake ndo yanampa kiburi.
Sio kweli mkuu,cheo humfanya mwanamke Kua nnajeuri nakibri
 
Unaelezea vizuri Sana,hope Ur were good at school,je naomba msaada kuhusu Kua na chemistry namwenzio nikuaje,nakwann inaonekana nimuhimu snaa kua nachemistry ktk long life relationship,msaada tafadhali
Kwanza from my own perspective kuhusu chemistry ni Ile Hali ya kuwa na ka upendo flani plus utu na huruma kwa watu sio kwangu Mimi tu na hata kwa wengine, pia good chemistry ni Ile Hali mtu anakusoma na kuelewa jinsi ulivo when ur high yeye atakuwa low and virce versa, pia kusameheana na kuwa best friends, someone who doesn't get tired of you no matter what circumstances ilivo, Yani mnaelewana mnasameheana, na kuchukuliana kuwa huyu mwenzangu yuko hivi ila as long as Kuna mambo mazuri anafanya let's me focus on that's positive side, na hii minor weakness niiache ka ilivo.
N. B upendo wa kweli huwa na huruma haungalii madhaifu ya mtu Iko kitabu Cha Wakorinto inaelezea hii kitu kuwa love conquers all and love is the greatest thing in this world, unfortunately nowdays mhhhh
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Duhaiseee
 
We endelea kumuita strong man wako

Wakati unamleta pigo za kibeijing

Somewhere atakuwa yuko treated like a king and anakuacha na agenda zako za kibeijing like kama ha-feel kitu.
Keep wishing and speculating, but grow some balls somewhere along the way.
 
Back
Top Bottom