Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

Nyaubikra

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
1,102
2,683

Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter.

Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano).

Tukae mbali na mafeminist wakuu.
 
View attachment 2542362
Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter.

Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano).

Tukae mbali na mafeminist wakuu.
Kibongo bongo hakajaona, inaonekana kameona nje ya Bongo (which is also okay).

Haka wala siyo Kataa ndoa Gang, ni Mashauzi Gang. Ni kalimbukeni flani hivi kanahisi kenyewe ni kamtu ka muhimu sana hapa Tz.

Kanaitwa ka nani kwanza?
 
Kibongo bongo hajaona, inaonekana ameona nje ya Bongo (which is also okay).

Huyu wala siyo Kataa ndoa Gang, ni Mashauzi Gang. Ni kalimbukeni flani hivi kanahisi kenyewe ni kamtu ka muhimu sana hapa Tz.

Kanaitwa ka nani kwanza?
Sikajui ila kusema anakosa uhuru ndy kauli tata hyo.
 
Back
Top Bottom