Wale majambazi walio wauwa polisi polisi kagongwa kahama wauwawa wawili

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Kiukweli polisi mjini wanazidi kuonesha mfano kwa polisi wengine leo tena wamefanikiwa kufanya mauwaji ya majambazi mawili likiwepo jambazi paul gilioma.habari zaidi nitazimwaga kesho baada ya kushushushu zaidi
 
Back
Top Bottom