i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
Kesho twategemea kuoneshwa icloud services tetesi zinasema yaenda sambamba na itunes na twaweza kupakia vitu hewani kama apps na muziki bila kuchomeka na USb. Hiyo itakuwa kivution, halafu nazani wataonesha IOS 5 na OSX lion zishaiva nazani zitakuwa zinapatikana kwa hilo duka lao la mtandaoni. Kwawale wanaosubiria iphone5 kila kona nikisoma tetesi naona ni kama bado haijaiva jikoni na lile tetemeko kule japani limefanya vifaa kua adimu kidogo nazani labda mwakani sina uakika lakini.