Nkamangi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2008
- 641
- 29
Mosi: Nkamangi inaelekea hata "Ukristo" haujui vizuri. Na je, "Amri 10 za Mungu" mbona alipewa Nabii Musa lakini Wakristo ndio mme-hijack as if it was Jesus who was given the Commandments??
Pili: Tuachane masuala ya dini na tujadili mada yangu. Mimi sikuwataja Wakristo ila nimewahatarisha "WALA KITI MOTO" - wawe wachina, wahindi, warusi ama waafrika bila kujali dini zao. Swali la kujiuliza ni "how serious is the swine flu or what steps should we Tanzanians take in the event it comes here?"
Over to U all .......
Jesus was not given the commandments, yeye ni sehemu ya utatu mtakatifu ambao ni Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu so what's the point of him being given the 10 commandments?. Wakati wa maisha yake hapa duniani aliongelea mengi yaliyo kwenye vitabu vya agano la kale including hiyo torati ya musa na 10 commandment lakini hakugusia mambo ya hoofs. Don't go telling me what I do know or not about my religion coz I know quite a bit.
Tanzania has much more pressing matters to deal with right now, swine flu isnt on the priority list. Good pork-less day!!