Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,754
Mhh GT,kimsingi ishu ya Bucha za Nguruwe umeanza kuiongelea long tyme(na nionavyo mimi malalamiko yako zaidi huelekea kwenye Udini),so nadhani hapa umewapata though itakuwa ngumu kuyavunja hayo Mabucha kama unavyotaka wewe....Nashawishika kuamini kwamba ombi/ushauri wako huu wa sasa wa kuvunja mabucha ya Nguruwe ni kutokana na ugonjwa huu wa Mafua ya kitimoto na si vinginevyo....Tanzania ni secular country bwana so acha watu wauze na kujinafasi na 'ze mduduuuz'(kama itaonekana kwamba ugonjwa huu haujaingia nchini)..Maana hata ng'ombe nao walileta homa ya bonde la ufa,kuku nao ndo kama hivyo mafua ya ndege lakini bado tunaona mabucha ya nyama ya ng'ombe na kuku yapo kwenye residential areas,nayo yaondolewe????????...WakatabahuNaam nadhani mnajua kuwa homa ya SWINE ishaanza kutapakaa kila kona na naamini kuwa sisi hatutokuwa immune kwa sababu sisi ni part ya hii globalization
Sasa in the wake of this nadhani ingekuwa bora serikali yetu iaanza kuondoa haya MABUCHA YA NGURUWE yaliyojazana kwenye residential areas kwani hiii homa ya SWINE sidhani ikianza kuuwa watu tutaiweza kuicontain considering hatuna contigency plans hizo
sana sana waheshimiwa wataanza kupanda ndege kwenda kwenye second homes kule London ambako weather ni nzuri kwa sasa and everyone seems to be ok in the wake of credit crunch
haya haya tena watu wa BORDER and IMMIGRATION.WIZARA YA FEDHA, HALMASHAURI YA JIJI na wengineo