Wakwenu Anapendwa hivi?

8D6U9682%2Bkikwete%2Bna%2Bpipi.JPG
Tena mvivu walau kushuka Kwenye gari walau Katoto ka Watu kamnuse na kumkumbatia!
Baba Ana roho ya kipekee huyu


Duh! Dhaifu(jk) huwa ni noma! Si angegawa japo pencil kwa huyu mtoto?

Umeona eeh? Prioritisation ndo ugonjwa wake. Haina tofauti na ujenzi wa daraja la kgmboni wakati hakuna hospitali na madawa ya kutosha.
 
Kwa iyo anatembea na maperemende kwenye gari kwa ajili ya kuwahadaa watoto?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa iyo anatembea na maperemende kwenye gari kwa ajili ya kuwahadaa watoto?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

baada ya sekunde kadhaa tu huyo mtoo ameshamforget! Lakini kwa mzee Obama pale teh...teh..teh watamkumbuka milele!
 
Kma anapendwa na mademu tu sasa huyo ni Rais wa kikundi fulani cha watu au watu wote?
 
Back
Top Bottom