Kama unaamini unapendwa unajidanganya

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
524
1,097
Wasalamu.

Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma.

Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani.

Hawa wa kileo mnajuana Leo na deni linaanza hapo hapo.Shida kibao mpaka za ukoo wao.

Siku hizi Kuna biashara ya mapenzi ila usijidinganye kwamba anapendwa mtu.

Kama unaamini unapendwa unajidanganya ndugu.

Ukitaka kulijua penzi la mkeo firisika au fukuzwa kazi.
 
Wasalamu.

Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma...
Vipofu wawili wakimgusa tembo, mwingine atasema tembo ni mkubwa kama ungo,kumbe aligusa sikio!mwingine atasema tembo ni mkubwa mrefu kama chatu kumbe alishika mkonga!

it's a personal perspective from where ur sitting, wakati wengine wanauana kwenye ndoa,na wengine kutapeliana na mwisho kutengsna, wengine wamedumu mpaka kifo!Edward lowasa na Regina, Nyerere na maria, Samuel Sita, nk, Wengine kama Davis Mosha, Mengi,walitengqna mapema.

Sasa wewe ukibamizwa na mapenzi kwa, ujinga wako, usifikilie na wengine wanabamizwa hivyo!
 
Kupenda ni hisia na anaezijua hisia hizo ni mtu anayependa tu.
Anayependwa kamwe hawezi kujua kama anapendwa, kwa hiyo angalia matendo na siyo maneno.
Unapoangalia matendo, bado huwezi kujua lakini matendo ndiyo kitu kinacho-matter.
 
mijadala ya ndoa na hela inaletwa kila siku nasisi wanaume!,kwani jinsia ya wenzetu hawana malalamiko..??
mbona kama kuna kitu tunafanywa na hawa wenzetu na wametulia tuli dawa ituingie..
Ngoja waje kina SALT
 
FB_IMG_1709991972753.jpg
 
Ila mapenzi ya Kweli bado yapo Sana.
Kama unabisha nenda huko vijijini ukajionee
Maamaeee! Kijiji gani hiko sasahivi!? Mtu unamuuliza unanipenda anacheka.... Hunipendi anacheka.... Kesho njoo gheto anacheka... Au hautafika?.... Anacheka then anataka hela ale kona


Kifupi huko bush ndo kuna vijini kabisa havieleweki. Nadhani tuendelee tu na born town wetu
 
Vipofu wawili wakimgusa tembo, mwingine atasema tembo ni mkubwa kama ungo,kumbe aligusa sikio!mwingine atasema tembo ni mkubwa mrefu kama chatu kumbe alishika mkonga!it's a personal perspective from where ur sitting, wakati wengine wanauana kwenye ndoa,na wengine kutapeliana na mwisho kutengsna, wengine wamedumu mpaka kifo!Edward lowasa na Regina, Nyerere na maria, Samuel Sita, nk, Wengine kama Davis Mosha, Mengi,walitengqna mapema,
Sasa wewe ukibamizwa na mapenzi kwa, ujinga wako, usifikilie na wengine wanabamizwa hivyo!
nawaza huyu kipofu alionaje huo ungo akaujua, ama huyo chatu


JESUS IS LORD&SAVIOR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom