pole zake huyu mzee, mana juzi juzi tu dereva wake almpiga mimba binti yake alyekuwa kidato cha 3,Kama unajua mkuu wa wilaya aliyeachwa tupia hapa naanza
Athuman Mdoe- Mwanga
Betty changu - kasulu
Ni kweli huyu mwaka hatousahau mtoto kapewa mimba na dereva wake na ukuu wa wilaya umeyejuka...pole zake huyu mzee, mana juzi juzi tu dereva wake almpiga mimba binti yake alyekuwa kidato cha 3,
Huyu Mbunge vitu maalumu!!ni MachanguBetty changu - kasulu
Evance Ballama,Mbeya Mjini
Nepi Neuye- Masasi.
Betty changu - kasulu
Kama unajua mkuu wa wilaya aliyeachwa tupia hapa naanza
Athuman Mdoe- Mwanga
Je aliedai kuvuliwa hijabu yumo?Seif Mpembenwe - Handeni
Mkuu huyu alipewa cheo ndani ya chama....