WAKUU WA VYUO na sekondari WENGI NI MAGAMBA

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,814
Niliwahi kufanya utafiti, nakugundua kuwa wakuu wa vyuo na sekondari wengi ni magamba, na huwa wanatumika sana wakati wa chaguzi,..

Nadhani kuna huja wa wakuu wa vyuo vya serikali wasiwe wanateuliwa na pia wakuu sekondari wasichaguliwe, wapigiwe kura na walimu wenzao.

Nakumbuka wakati nasoma Old Moshi sekondari mkuu wa shule alikuwa nahifadhi ubwabwa wa ccm kuwagawia wanafunzi jioni na kuwaambia ccm ipite. Ikitokea mwanafunzi ukaonekana ukipita karibu na ofc za chama cah siasa tena iwe cha upinzani, imekula kwako.

Hali hiyo pia nikaikuta chuoni pale UDSM. Hata wenzetu waliokuwa vyuo vingine noa wakasema hivyo hivyo.


Tufanyeje kuondoa huu uozo?
 
Waalimu wao na wafanyakazi wao pia, na hata baadhi ya Wanafuzi wao, Chuchuchu!
 
Back
Top Bottom