Wakuu wa MIKOA/WILAYA Wanajeshi

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Kuna tendecy tangu Nyerere,wanajeshi wastaafu wanapewa ukuu wa Mikoa/Wilaya.Inakuwa ni kama sehemu ya kuretire na kula taxpayers money for nothing.Kazi zao ni kutoa hotuba,kuhudhuria sherehe na kula raha.Hakuna policy making,analytical skills etc.Ndio maana tumebaki kuwa duni maana mikoani na wilayani hakuna wataalamu wa maana.

Mwaka fulani alikuwepo mkuu wa Wilaya ,huyu alikuwa mbunge wa kuteuliwa!Siwezi kumtaja hapa!alikuwa hopeless pale wilayani.Ni kutembelea vijijini for nothing.Alikuwa na mashangingi 2 ya bunge,na gari la wilaya.Waste of taxpayers money.Bora hawa wastaafu wangepewa pesa hizo za ukuu kila mwezi na kukaa nyumbani maana hakuna wanachofanya kabisa.
 
Kazi wanafanya tena sana ila ni kusimamia MANIFESTO YA CCM ili ifikapo wakati wa uchaguzi CCM ipite kwa vishindo. Ni mara zote CCM imepita na kuwabwaga wapinzani kwa ushindi mkubwa.
 
Back
Top Bottom