Wakuu nauliza swali linaniumiza kichwa naomba munijibu

kweli kabisa...
Lipo Kaburi lililotembea na maiti

kaburi moja lipo pale kilema kisangiro.
Umekosea jibu jaribu kunijibu tena

Mkuu,
Maswali yako bana yanashangaza!....Si utujuze tu?
Maswali yangu ni magumu kuyajibu inataka usome sana ndio waweza kunijibu.

umekosea Kaburi haliwezi kuwa ni tumbo jaribu tena.

kwani leo MziziMkavu umeamua kututega na vitendawili....
Haya maswali magumu inata usome vitabu vya zamani ndio unaweza kujuwa ni kitu gani hiyo Kaburi kutembea na maiti.

MziziMkavu toka uanze kuuliza maswali humu hata siku moja sijawai kujibu...stay in touch JF...lol..
jitahidi utapata majibu mazuri tyu mkuu

Nipigie makofi, jibu nimepata.
Hata upige makonzi huwezi kupata jibu la swali langu hilo hahahahahah

na wewe jibu hili!!!!maiti gani ilitembea na kaburi?
mimi nitajibu ikiwa Wakuu Wa hii Jamii forums The Great Thinker watakapo shindwa hahahahahahahahah
 
Sayyidna Yunus Alayhi salaam kwa jina lingine ni Nabii Yona, mwana wa Amitai
Mkuu X-Paster Umepata Nakupa hongera hoyeeeeeeeeeee Jamani humu ndani maswali yangu mpaka mujibiwe na Ma Moderator? Hakuna humu ndani Members wa The Great Thinker?
 
Mkuu X-Paster Umepata Nakupa hongera hoyeeeeeeeeeee Jamani humu ndani maswali yangu mpaka mujibiwe na Ma Moderator? Hakuna humu ndani Members wa The Great Thinker?
wakristu wangejuaje?? au great thinker ni mtu anayejua dini zote??
 
Tangu jana mawsali yako yananizingua,asa leo ushakuja na habari za makaburi na maiti kutembea!swali gumu linatisha nisije nikaota mie kwa heri!
 
Back
Top Bottom