wakuu nauliza swali langu nawaombeni munjibu

Ah Mizizi jamani, hizi quiz zako sasa,
nmetoka kupasua kichwa kule kwenye jina katika sehemu ya mwili, mara kuna hili tena.
Mi nangoja jibu tu toka kwako
 
Mkuu sio haki bana maswali gani magumu hivo... alafu ile thread nyingine umetoa jibu ambalo natafuta njia ya ku-prove lakini ina bounce...
Mkuu unanifurahisha mimi nilipokuwa shule miaka ya sabini niliwahi kumuliza Mwalim wangu mkuu wa shule ya msingi maswali magumu kiasi alikuwa ananishangaa na alikuwa ananiuliza wewe unayapata wapi hayo maswali? Mwalim wangu mkuu wa shule alikuwa anafundisha darasa kwetu somo la Siasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom