Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,590
15,385
Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana.

Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.

Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana.

Changamoto nyingi kama utazitatua mwenyewe mfano umeme ukafunga Solar au Backup Genset, Maji ukachimba kisima, etc unaishi vzr tu.

Nchi nyingine nashauri twendeni tukatalii tu, ila maisha ya bongo kama unajichanganya na wananzengo yako safi sana.

Nyie mliotembeatembea huko duniani kuna nchi gani bora zaidi ya hii bongo kiamani na mahusiano ya kijamii
 
Unaweza kwenda popote ukapolekewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.

Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana.

Changamoto nyingi kama utazitatua mwenyewe mfano umeme ukafunga Solar au Backup Genset, Maji ukachimba kisima, etc unaishi vzr tu.

Nchi nyingine nashauri twendeni tukatalii tu, ila maisha ya bongo kama unajichanganya na wananzengo yako safi sana.

Nyie mliotembeatembea huko duniani kuna nchi gani bora zaidi ya hii bongo kiamani na mahusiano ya kijamii
Ni kweli, hapa ni sehemu bora ya kuishi.
Huko nje kuna strict rules, msululu wa kodi ni hatari.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana.

Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita.

Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana.

Changamoto nyingi kama utazitatua mwenyewe mfano umeme ukafunga Solar au Backup Genset, Maji ukachimba kisima, etc unaishi vzr tu.

Nchi nyingine nashauri twendeni tukatalii tu, ila maisha ya bongo kama unajichanganya na wananzengo yako safi sana.

Nyie mliotembeatembea huko duniani kuna nchi gani bora zaidi ya hii bongo kiamani na mahusiano ya kijamii
Zipo, sema kwenu ni kwenu hata ikiwa pangoni.
 
Kwa amani na utulivu katika nchi nilizowahi kutembelea, ya kwanza ni Saudi Arabia.

Nchi ambayo nilikuta watu wanaacha maduka wazi wakienda kusali na hakuna anaeiba.
 
Back
Top Bottom