Akipaka ya kijani itaonekana alipewa msaada na SISIEM kipindi cha kampeni..Ndio mbona nyingi tu zimerudiwa rangi Ila Mara Nyingi zinapakwa Ile Ile ya silver.. Usije paka ya kijani kataonekana kametoka kijijini huko ndani ndani na mwanakijiji ndio wewe