Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,239
22,674
Nimeshtuka..!

Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni?

Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu?

Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana?

Nimeumia sana kwa kweli CAF wanaruhusu vipi team yenye wachezaji kama hawa?

Its not fair kucheza na wazee.
FB_IMG_17094930503740255.jpg
 
Nimeshtuka..!

Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni?

Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu?

Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana?

Nimeumia sana kwa kweli CAF wanaruhusu vipi team yenye wachezaji kama hawa?

Its not fair kucheza na wazee.View attachment 2923562
Ulitakaje Wewe ?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

Huyu mwenye huo ukurasa ni mboga ya pale Salamander Tower 😂😂😂
Vijana wa kiume wamekuwa na tabia na roho mbaya kama Mwanamke aliyezalishwa na kutelekezwa
 
Jikiteni kwenye kubet timu za ulaya..bongo hasa Simba mtasikia sana vichefu chefu..
 
Hao wachezaji si wanajulikana leteni profile zao tuone. Hao wastaafu walipenyaje kwenye makundi na wakaweza kumfunga Waydad Nyumbani? Muwe na heshima kwa vilabu vyetu badala ya kuwa na roho za ajabu ajabu, goli 6-0 halafu mnabeza? Mbona Asec na Waydad hawa kumfunga Janwing Galaxy magoli mengi kama Simba alivyofanya? Simba ametoka kucheza na Al ahily kwenye supper league wakadrw nyumbani na ugeni, Yanga amedrw nyumbani na Al ahily ugenini akafungwa na Al ahily. Mashabiki wa Yanga na Simba tulipaswa kuungana na kuzishangilia timu zetu ili zote zitoboe badala ya kuanza kuwekeana kuunguni.
 
Nyuma mwiko endeleeni kuimba taarabu wakati huo sisi tunaendelea kujiandaa kwa ajili ya mpinzani yeyote tutakae pangiwa robo fainali
 
Back
Top Bottom