Break Time
Member
- Dec 23, 2014
- 80
- 136
Wakuu kuweni waungwana kama hauwezi kumsaidia mtu ni bora usimumize kwa maneno yasiyofaa. Mungu akutangulie upate hitaji lako.
Kwa boom lipii?
Alafu unajiita Hustlerndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
Unataka kulipa shilingi ngapi. Kazi ya ulinzi utWeza? Mshahara laki 250ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
Mungu akutangulie 🙏Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
asante mkuuMungu akutangulie
Pole kwa unayoyapitia.ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
sawa sawa mkuuPole kwa unayoyapitia.
Kwa wingi wa thread ulizoziandika kwa kipindi kifupi kuhusiana na uhitaji wako wa ajira, inaonesha wazi umekabwa haswa.
Pitia kwa utulivu ushauri uliopewa na wadau katika hizo nyuzi zako , nina imani utapata mlango wa kutokea.
Wengi bado wanajitafuta wachache ndo wamejipata...waliopo mtaani ndo hao hao wamo humuUtapata..humu wachache sisi bado tunajitafuta,
wengi wao walishajipata zamani🔥
Mbona umekata tamaa kiasi hiki,?ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa