Wakuu ebu jionee haya mambo!!

October 31 ni zamu yao kumuonesha kwamba wao ndio walioumuajiri na sasa wanamfukuza kazi kwa kiburi chake.

You are right. Na hii ndio dhana ambayo viongozi wanajifanya kuisahau once wakichaguliwa! Wanajikweza na kujiita vigogo na wananchi ambao ndio wamewapa kazi wanawadharau!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom