wakuu Dar kunalipuka mabomu au???

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
kinywaji hakishuki kabisa hapa port view. vipi walio sehemu iliyo tulia, kuna nini huko msaada p'se!. au rugalo kimenuka!?. Mia
 
kama ni mabomu sijui tutakimbilia wapi wallah toba!hebu tusikilizie kwanza!manake bongo ishakua kama torabora.
 
mwaka mpya wa kichina unaadhimishwa leo au nao wameamua kupiga mabomu.!?
 
Kama ni kweli ni Obay basi mabomu hayana akili, hata kwa wakubwa yanapiga!!! hata wao waonje adha ya kuyakimbia.
 
Nipo kama mita 100 hivi kutoka kwenye tukio. Ni mwaka mpya wa Kichina.
 
Nipo kama mita 100 hivi kutoka kwenye tukio. Ni mwaka mpya wa Kichina.

Ohho, afadhali. wakuu mlioko bar endelezeni kuchangia kodi tusukume maendeleo mbele. hii habari ilitaka kupunguza pato kwa taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom