Wakubwa naomba ushauri wenu juu ya hili suala linalonitesa nahisi nimeathirika kisaikolojia kuwa addicted

kwani shida nn ndo mana ikaitwa faragha hata kama unapaka mavi kichwani ni sawa so long as havitoki nje wenzio tunavaaga skuna kabisa ili tuifikie vizuri
 
Najaribu kuacha lakini nashindwa kabisa na sioni furaha ya tendo bila kufanya hiki kitu.

Ipo hivi huwa sipati furaha ya kugegeda endapo sijavaa kichwani chupi/tyti ya mwanamke tunapokua faragha, totozi zimekua zikinishangaa sana ninapokua nimevaa kichwani nguo zao za ndani Kama kofia kipindi nakula mzigo/tukiwa faragha hakika huwa napata mizuka mno na hii hali nimejitahidi kuacha lakini imeshindikana.

Mwanyekujua tatizo hili NALIA NGWENA nahitaji msaada na nitamshukuru sana Tena sana endapo nitapata msaada.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una changamoto ya afya ya akiri.
 
Back
Top Bottom