Wakubwa naomba ushauri wenu juu ya hili suala linalonitesa nahisi nimeathirika kisaikolojia kuwa addicted

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,305
12,802
Najaribu kuacha lakini nashindwa kabisa na sioni furaha ya tendo bila kufanya hiki kitu.

Ipo hivi huwa sipati furaha ya kugegeda endapo sijavaa kichwani chupi/tyti ya mwanamke tunapokua faragha, totozi zimekua zikinishangaa sana ninapokua nimevaa kichwani nguo zao za ndani Kama kofia kipindi nakula mzigo/tukiwa faragha hakika huwa napata mizuka mno na hii hali nimejitahidi kuacha lakini imeshindikana.

Mwanyekujua tatizo hili NALIA NGWENA nahitaji msaada na nitamshukuru sana Tena sana endapo nitapata msaada.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230502-164628~2.png
 
Umeweka picha Lakini sijajua ni Nini maana picha hazifunguki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Nimecheka kaa fala aseeeee nalia ngwena ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Kwann usihamie kwemye web mkuuu achana na li app lao hilo
 
Back
Top Bottom