Wakristo mtachomewa makanisa hadi lini jamani ifike tuseme no imetosha

kukaa kimya kwa wakristo sio wajinga bali ni imani ya kiroho waliokuwanayo na pia wanatambua wakibishana na hawa ambao wanazaliwa wanaimizwa kusoma kuqwani bila kujua anachokisoma ni nini na pia wakristo sio wajinga kuto jibu isipokuwa wanaepusha vita kumbuka kuna ISRAEL na PALESTINA mpaka kesho ile vita haitaweza kuisha kamwe. so wakristo kukaa kimya kama selikari ilivyokaa kimya sio wajinga isipokuwa wanajalibu waangalia wajinga wanavyopiga kelele na mwelevu ila siku mwelevu akiamua kukushugulikia ujue alishajua uzaifu wako na wapi pa kukushugulikia ila wakristo hawawezi kufika huko kutokana. Tunaelimu dunia na imani elevu au kamili hatukuchapwa viboko wakati tunafundishwa namna ya kuwa na iman ya kweli sasa jalibu kufikiri kwanza ni nani mjinga kat ya hawa
 
kukaa kimya kwa wakristo sio wajinga bali ni imani ya kiroho waliokuwanayo na pia wanatambua wakibishana na hawa ambao wanazaliwa wanaimizwa kusoma kuqwani bila kujua anachokisoma ni nini na pia wakristo sio wajinga kuto jibu isipokuwa wanaepusha vita kumbuka kuna ISRAEL na PALESTINA mpaka kesho ile vita haitaweza kuisha kamwe. so wakristo kukaa kimya kama selikari ilivyokaa kimya sio wajinga isipokuwa wanajalibu waangalia wajinga wanavyopiga kelele na mwelevu ila siku mwelevu akiamua kukushugulikia ujue anakujua udhaifu wako na wapi anapoweza kukushugulikia. Na ikumbuke pia kuwa wakati tunafunzwa iman hatukuchapwa viboko bali tuliandaliwa kiroho na kiheshima na ndio maana hatukurupuki kujichukulia maamuzi tuu kilahisi na ndio maana tunajalibu kuwatizama jinsi gani mnavyokurupuka
 
kwani mmeshikwa mikono!? anzisheni sasa...

unapenda fujo eeh hivi unadhan vita ikitokea waathirika watakua wakristo tu?,babako mamako na nduguzo watakuwa matatani pia 'think big' nyerere kukemea udini hakua mjinga waislam kaen chini muelimishane msikae kuringia hao majini ipo siku yatawageuka mjute
 
Bila kanuni ya Mungu afya zetu zingekua kama za siafu.

3 Yoh. 1:2 Mungu anapenda tufanikiwe na kuwa na afya nzuri.
1 The. 5:23 Utakaso unajumuisha mwili, akili...
 

Attachments

  • ngrooooooooooo.jpg
    ngrooooooooooo.jpg
    8.5 KB · Views: 63
Maombi ya wakristo kuchomewa makanisa majibu yake yanajitokeza.
Kumbuka majanga ya meli yaliotokea huko visiwani hayoni majibu dhahiri.
 
Sipendi kuita mabwege ila napenda kusema hili swala la udini lnapoelekea ni pabaya
napenda kusema hili ndugu zangu watanzania namaanisha wakristo na waislamu
akuna dhambi kama kubaguana kidini

naamini uu muendelezo unaoendelea kuchoma magazeti athari yake ni kubwa kuliko
serikali inapokaa kimya..lazima wajue si kwamba wakristo wajinga ila ufahamu
utakaporudi nahisi amani itakuwa kubwa zaidi

nimeumia leo kusikia kanisa limechomwa nikajua malawi ama zambi kumbe kigoma ndan ya tanzania
mmehcoma mbagala,,zanzibar kigoma mwisho mtatuchoma sisi ...iifike wakati mseme basssssssssiiiiiiiiiiiiiii.....mskubali kuundiwa tume kama watoto kila siku ya zanzinar iko wapi...

wewe shida yako UNATAKA REVANGE! kuna hatari tanzania ikaingia kwenye matukio ya machafuko KAMA MKIREVANGE. jamani tusameane hata kama tumekoseana maana kuna faida zake. WAISLAMU WALIKOSEWA NA KINACHO itajika ni viongozi wote pande mbili wakutane , wajadili na baadae wataelewana! JAMANI IF YOU WANT UNLIMITED WAR TO START IN THIS COUNTRY endelea kuchochea watu kufanya revange!!!
 
kuna mwalimu wangu alikuwa anapenda sana kuutumia huu mfano " kulikuwa na watu wanashea choo ila kukawa na mgogoro katika matumizi yake basi ule mgogoro uliendelea kwa siri siku moja wa kwanza akakuta kuna maandishi ukutani yameandikwa " atakaejisaidia ni mjinga" yalikuwa yameandikwa kwa kinyesi kwa kuwa yule jamaa nae alikuwa amechoka na hayo matatizo akaamua kumjibu " mjinga ni wewe ulieandika ukutani" na yeye akaandika kwa kinyesi vilevile" Je hapo mjinga ni nani? fikiria kwa makini huu mfano.

Busara sio utumwa na kama sio busara tungekuwa mafichoni sasa tunahangaika na mitutu sababu kama vita ikiripuka dsm huko mikoani watafata tu jaribu kufikiria vizuri haujafika muda wa kereact hivyo .
 
mkuu sim
ogopa mtu anaeamini majini na mapepo anaweza kukumaliza dk 1 ati.s.asa naona wakristo wenzangu wengi tumefungwa na mapepo ya uvumilivu sasa kila tunachofanyiwa tunajipa moyo mungu atawalipiza atawalipiza wapi ushaona mapepo yanalipizwa mwisho yanakumaliza ati watanzania amkeni jamani sisemi wote ila naaaminiw apo waislamu wanaolaani hii hali na wengine wakichekelea kama mh wetu mis narudia tena tusali tufunge tufunguliwe ufahamu tuliofungwa na mapepo tujue wapi tulipo na nini cha kufanya
unajua hata kwenye baibo wanasema adui yako na afe sasa tunajifanya kuwaombea hawa huku wanaturushia maruhani na kuchoma moto makanisa na mwisho wanatuchoma moto wallahi nawaambia oooh shauri zenu

ya kuzama meli mmesahau,ndio majibu ya Mungu wetu hayo,sisi ni maombi tu,Mungu anahamua awafanye nini!Tuko kiroho zaidi na sio kimwili,AGAIN VITA VYETU SI VYA KIMWILI,NI VYA KIROHO!!!MWENYE KUSOMA NA KUELEWA, AELEWE LAKINI MSIMKUFURU ROHO MTAKATIFU!!
 
Ukishindana na mjinga nawe unakuwa mjinga ndugu yangu...............sisi tunafunga na kuomba.............dini yetu haiagizi kufanya vurugu.............umesahau samehe 7 mara 70???.................hao ni wa kuwasamehe manake hawajui walitendalo............hali ngumu ya maisha waliyo nayo ndio tatizo kubwa!

big -up sweetlady!!kiroho zaidi!
 
Utawajuatu watu wasiojua thamani ya amani. Hebu angalia Somalia watu wanavyoteseka. Kisa Uisilamu Uisilamu. Tutaendelea kuwaombea kwa Mungu mwenyewe awafungue ufahamu hao Waisilamu wasio na haya. Nawapenda sana Waislamu wanaojua Dini kweli kuwa ni Dini ya Amani. Amani kama tafsiri yake ni vita na kubaguana, basi hiyo dini imepoteza muelekeo

Hivi hayo makanisa yameanza kuchomwa lini,na kuanzia miaka gan na kwa sababu gan??
Unapomwagia moto petroli then ukalipuka lawama hiyo unampa nan??lawama unaipa moto au wewe ulieimwaga ile petroli??
Mbona hulalamiki kuhusu hao waanzilishi wa hizo choko choko??
Lipiza kisasi basi,kwan nani kakushika mkono au kakuzuia??misikiti si unaiona??
Kailipue,,
stayn today complaining bout yesterday wont make ur tommorrow any better...!!!
Take actions now if u thik u r such smart...
 
Khaa...!!ajira??thats soo nonsense,,popcopy,,
nan kakuambia waislam wanachoma makanisa coz ya chuki zao za kukosa ajira?
Hivi ni nan kawaaminisha kua uislam unapromote ujinga au unawafundisha waumin wake wasisome na kutafuta maarifa??well,let me tell u somthin,miongoni mwa verse za mwanzo mkushuka kwa muslims ambozo mungu alimshushia prophet muhhammad peace be upon him ni "iqra bismirabika laadhi khalaq",khalakal inhsan bil khalaq",iqra a"warabukal akram,gh"alamal insan bil kalam""
means>>soma,soma kwa jina la mola wako aliekuumba,aliemuumba bin adam kwa tone la sperm,soma hakika mungu wako ni mkarim,aliemuelimisha binadam kwa kalam na kumjuza mambo ambayo yeye binadam alikua hayafaham,,
na zipo verse nyingi zinazoelezea na kusisitiza umuhimu wa elimu na ulazima wa binadam kuitafuta elimu hiyo,inchi kama mfano wa iran leo wanazungumzia kuhus teknolojia ya nyuklia na ile ni jamhuri ya kiislam una amin kua wale wamesoma madrasa tuh??propaganda kama hizo hazina mashiko na wenye kua na uelewa na exposure tunakudharau,,ni umaskin uliorithi kwa ancestors wako ndio umekupelekeeni kuamin kua yupo aliekufa kwa ajili ya shida zenu,,ulaya na sehemu zingne wakatambua uhalisia wa mambo huwez kukaa na kuongea pumba kama hizo
na usitegemee hatab siku moja eti uwadharau waislam na kuwakashifu kisha wao wasichukue action ya kupinga dhulma kama hzo
ilo sahauu...

Kama hivyo sivyo, Ni sababu gani imemfanya yule binti wa Afgan apigwe risasi kichwani?
 
big -up sweetlady!!kiroho zaidi!

Pamoja sana SWEET HUSBAND ........hakuna goes around isiyokuwa na comes around.......Mungu atatulipia sie tukazane kuomba na kufunga kwaajili ya matukio yote yanayoendelea kwa sasa...........Hakuna Mungu aliyeagiza watu wake kumpigania kimwili...........sie tunapigana kiroho na hakika tutashinda!
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi fundishwa na mwalimu wangu kuwa kichaa akikuchukulia nguo ungali unaoga ussimkimbize maana wote mtakuwa vichaa, sasa ndg zangu wakristo nivema na haki kutowajibu hao wanaotaka vurugu maana sote tutakuwa wavurugu. Mungu yupo:tongue:
 
Ukristo unaongozwa zaidi na ile Busara za Gamalieli tofauti na upande wa pili. Kusubiri kama ni kitu kinachotoka kwa mungu .... ila kama ni cha binadamu kitajishinda chenyewe. Soon waislamu wataanza kuuana wenyewe kwanza. Hili ni fumbo pia kama yalivyo mafumbo mengine ndani ya ukristo.
 
Back
Top Bottom