Wakopaji sugu wasiolipa wenye asili MOJA

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Comments ziwe fupi fupi.. Huku background tukisindikizwa na sound track ya nambari wani eehh... Nambari wani ni nambari waniiii....๐Ÿฅฑ

DCB COMMERCIAL BANK

DCB COMMERCIAL BANK PLC

KWA WATEJA WOTE WA UVCCM WANAODAIDIWA MKOPO

Kufuatia tangazo lililotolewa na DCB Commercial Bank Pic kuhusu wanufaika wa mikopo ya UVCCM katika gazeti lililochapishwa Desemba 2023, Sasa tunachapisha majina na picha za wateja wa UVCCM wenye mikopo katika Benki ya DCB ambao wameshindwa kuwasilisha, au kufanya utaratibu wa kulipa. madeni ndani ya muda ulioruhusiwa.

Tafadhali kumbuka kuwa kushindwa kulipa madeni yako kutaacha benki bila chaguo lingine isipokuwa kuendelea kukuchukulia hatua za kisheria ndani ya mwezi mmoja kuanzia tarehe ya tangazo hili.

ZINGATIA TAREHE YA TANGAZO
IMG-20240119-WA0034.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZINGATIA TAREHE YA TANGAZOView attachment 2876528

Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana ilitokea miaka ya 1980๐Ÿ’
 
Back
Top Bottom