Wakongwe wa magari msaada tafadhali

T1986MCK

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
210
259
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana Jr , LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
 
Nasikia ni nzuri ila inabidi ujipange kwenye wese maana inabugia kinoma
 
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana jr, LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
Nunua hio gari zina engine ya vvti ulaji mafuta ni wa kawaida wala usitishwe nina mwaka wa nne natumia engine kabila hio ingawaje sio gx 110 na nafasi yake ndani pia ni nzuri.
 
Back
Top Bottom