Msaada: Nikafanye kazi Jeshi la Magereza au Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

jitulawatu

Member
Aug 9, 2020
52
49
Wana jamvi habarini za muda huu, Wajuzi wa mambo haya naombeni msaada wenu tafadhali.

Mimi Proffesional yangu ni AFISA MISITU Daraja-II

Katika kupambana kutafuta kazi nimefaulu interview na kupangiwa kituo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa fulani

Wakati huu pia nimefaulu interview ya Jeshi la Magereza kwenye hii hii kada ya AFISA MISITU na natakiwa nifike kwenye mafunzo siku 3 zijazo.

Binafsi ninazipenda kazi zote hizi mbili kwa sababu mimi ni mzalendo na pia zote zinahusu fani yangu.

Sasa nimevurugwa hapa niende wapi katika hizo post mbili ninaombeni ushauri wakati huo tukizingatia upande wa MAOKOTO tu hapo ndipo nilipokwamia.

ASANTENI
 
jipime kwenye haya:-
1. Kama utaweza utayari wakati wowote(magereza)
2. Kama utaweza.kutokutoa mawazo yako (magereza)
3. Kama unahitaji muda wakuw free (mkoani)
4. Kama utawezana n wanasiasa (mkoani)
5. Kama utapenda kuishi kwako (mkoani)
6. Kama utapenda maisha binafsi (mkoani)
7. Kama unataka kuwa na maamuzi ya haraka bila maswali ya wakubwa (mkoani)
8. Kama unataka kula shushu (mkoani)
9. Kama utataka biashara binafsi (mkoani)
10. Kama unapenda kunyonya nguvu/jasho la wengine (magereza)

Sijaongelea maokoto sababu umejiita mzalendo Mkuu.

Ila binafsi nakushauri pita na mkoani, achana na mambo ya ukakamavu wakati umri unaenda nguvu zinapungua pia.
 
Kama ndo mimi ningechukuwa huu ushauri bila kupepesa umetoa uchambuzi mzuri kazi kwake biafsi namshauri mkoani atapata fursa zaidi
 
Wana jamvi habarini za muda huu, Wajuzi wa mambo haya naombeni msaada wenu tafadhali.

Mimi Proffesional yangu ni AFISA MISITU Daraja-II

Katika kupambana kutafuta kazi nimefaulu interview na kupangiwa kituo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa fulani

Wakati huu pia nimefaulu interview ya Jeshi la Magereza kwenye hii hii kada ya AFISA MISITU na natakiwa nifike kwenye mafunzo siku 3 zijazo.

Binafsi ninazipenda kazi zote hizi mbili kwa sababu mimi ni mzalendo na pia zote zinahusu fani yangu.

Sasa nimevurugwa hapa niende wapi katika hizo post mbili ninaombeni ushauri wakati huo tukizingatia upande wa MAOKOTO tu hapo ndipo nilipokwamia.

ASANTENI
Kwa hio wewe hujui future na maslahi vikoje sehemu zote mbili, unataka tukupe kizenga sisi,? Be serious umeshindwa kufanya utafiti seriously hata mazingira ya kipesa pesa hujui, freedom ya kufanya mambo yako nzuri wapi hujatafiti?
 
Ukiwa Afisa Misitu chances zako za mbeleni zipo limited,tofauti na ukiwa Afisa Utumishi.
Iwapo utakwenda Mkoani na kuwa Afisa Utumishi utapata muda mwingi wa kufanya mambo mengine kama biashara kama ili kuongeza kipata,iwapo hutakuwa huna hobbies na biashara baada ya kuthibitishwa kazini unaweza
tafuta taasisi yenye mshahara na marupu rupu mazuri uhamie

Ni lazima ufanye hayo mambo 2 niliyokuandikia hapo juu,maana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni zaidi ya kijiwe hasa kwa kada kama yako ya Afisa Utumishi.
 
Wana jamvi habarini za muda huu, Wajuzi wa mambo haya naombeni msaada wenu tafadhali.

Mimi Proffesional yangu ni AFISA MISITU Daraja-II

Katika kupambana kutafuta kazi nimefaulu interview na kupangiwa kituo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa fulani

Wakati huu pia nimefaulu interview ya Jeshi la Magereza kwenye hii hii kada ya AFISA MISITU na natakiwa nifike kwenye mafunzo siku 3 zijazo.

Binafsi ninazipenda kazi zote hizi mbili kwa sababu mimi ni mzalendo na pia zote zinahusu fani yangu.

Sasa nimevurugwa hapa niende wapi katika hizo post mbili ninaombeni ushauri wakati huo tukizingatia upande wa MAOKOTO tu hapo ndipo nilipokwamia.

ASANTENI
Hongera sana mkuu kwa chances hizi.

ni vema ukabaki ofisi ya mkoa kuliko magereza ,sababu magereza hyo majina waliyotoa ni wito wa mafunzoni na kama unavyojua hivi vyombo unaweza temeshwa mafunzoni kuwa unfit najua hizi case umezisikia sna , utashindwa pakuanzia.

nibora ukabaki huko ukawa free na ishu zako, japo navojua magereza kwa ma afisa utaweza tumia labor force ya bure kwa kuharass wafungwa kwenye projects zako
 
Maoni;Mkoa ulikopangiwa kama Afisa Misitu tayari umeshapata kazi lakini uko magereza bado hujapta kazi upo bado kwenye process ,so kwa maana hukifanya kosa ni rahisi kufukuzwa kabda ya kumaliza mafunzo na kuingia kwenye ajira:nakushauri nenda ulikopata kazi na siko unakoendelea na process ya kupata kazi 🙏
 
Back
Top Bottom