Wako wapi hawa watu?

mie namtafuta rejao.... Walau ritz kajitokeza kw post ya paka jimmy. Ff sijui wamekorofishana na nape au? Kati ya nilio na uhakika hawatarudi hapa jf ni mwigulu....
 
ktk uchaguzi wa kidemokrasia, matokeo ni ',nyeupe au nyeusi'....hongera brother nassari...umeshinda..! work for the motherland.....!!!
 
Nape alisema mlete Dr Slaa Arumeru tutamchalaza vibaya,sasa mkaletewa Kijana Nassari kwapiga chini na mbwembwe zenu za matusi chungu nzima.Wapi Nape sema kaka umetulia kama,sasa CCm arumeru ofisi watazifunga wamezoea kula kwa mbunge wao sasa mshike jembe wmende shambani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom