NiceBetter
Member
- Aug 23, 2022
- 7
- 13
yani wabongo mtu unamjua tu unamkopesha harudishi sembuse kumkopesha usiyemjua
Mkuu wanaokukata siyo wao ila ni mitandao ya simu kwani pesa unapewa kwenye simu yako. Mimi natumia tigo, so nikikopa kama 50 wanaituma 50 kama 50 then mambo ya tozo na makapo lukuki yanafataTatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Mimi mbona wananikatalia na ni mateja mpya
Kukosa uaminifu ndio kuna fanya tunaishi maisha magumu sanaWatanzania uwakopeshe tena huonani nao,utahama mji mwenyewe.
ukweli ndio huo.Kukosa uaminifu ndio kuna fanya tunaishi maisha magumu sana
Hapo ulipo unajiona mjanja kudhulumu izo elfu ishirin!Niliwahi kukopa 20,000 kutoka kwa hao jamaa sijui ni TALA au BRANCH nishasahau
Ila wao utaratibu wao kwenye kujisajili kuna kipengele cha kujipiga selfie na kutuma picha ya sura yako na kipengele cha kupiga picha kitambulisho chako cha utaifa na kuwatumia na namba zako za simu
Mpaka leo sijawalipa. Mwanzoni yule customer care wao alikuwa ananipigia hadi simu za kunitishia kuwa wana taarifa zangu zote wanaweza kunifuatilia na nitalipia gharama zote za usumbufu.
Nikajipa moyo kuwa liwalo na liwe baadaye wakaacha kunipigia. Nikafanikiwa kutowalipa
Baadaye nilishukuru kuwa niliwadhulumu maana nasikia kipindi cha jiwe hao jamaa walipigwa chini kwa sababu walikuwa wanaendesha biashara nchini kinyume na utaratibu na sheria.Hapo ulipo unajiona mjanja kudhulumu izo elfu ishirin!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mbona most ya app za mikopo zinafanya hii inshu ya kukusanya taarifa unaweza kuta unadaiwa akapigiwa hata mzazi wako akaambiwa mwanao tunamudaiTala walipigiwa Bann ni baada ya kufahamika wana mtambo wa kukusanya taarifa za wateja pasipo kibali toka Mamlaka ya mawasiliano TCRA