Nilipita mahali nikamkuta rafiki yangu hakimu akiwa analalamikia upendeleo uliokithiri katika serikali yetu. Kwamba badala ya kuteua watu competent na walioitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa, wanateuana kwa kujuana kwao hata kama yule mteule hana uwezo.
Akasema Riziwani ni mtu ametokea kuwa na nguvu sana nchi hii na anayeweza kuwa karibu nae anaweza kuteuliwa kwa cheo chochote. Akatoa mfano wa Jaji Mujulizi ilitokea Riz kufanya internship Law Firm ya IMMA haikupita siku Mujuliz akaula.
Lililomshtua zaidi ni uteuzi wa jaji Latifa aliyekuwa anafanya kazi chamber ya Riz iliyopo hapo maktaba kuu ya Taifa. Anasema huyo dada mbali na kwamba hana uzoefu wa maana hana uwezo kihivyo ambao ungemwezesha aonekane miongoni mwa wanasheria wazoefu na wenye uwezo mkubwa waliosheheni Tanzania.
Pamoja na kwamba mimi si mwanasheria, niliumizwa sana na tuhuma hizi kwani zinaiua kabisa Tanzania kama tutakuwa tunateua watu kwa vile mtoto wa rais anasema na si kwa vile ana uwezo. Inaumiza sana. Jamani 2015 tuifute CCM katika historia ya nchii ili tyuijenge Tanzania mpya yenye haki kwa wote, yenye kuwapa kazi watu wenye uwezo bila kujali ni nani