wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 144
naomba kujuzwa kuna taratibu gani wakili anayekusimamia kesi, anapokufanyia udanganyifu wa tarehe za kesi kwa kupeleka mbele zaidi ,ili kufanya usihudhurie mahakamani na kusababisha kuonekana haufiki? kwa kumuwezesha ninaemlalamikia kupata ushindi (yaani kuwa upande wa ninayemlalamikia kwa maslahi yake zaidi ?
nini naweza fanya inapotokea hivyo kwa mujibu wa taratibu za kisheria?
nini naweza fanya inapotokea hivyo kwa mujibu wa taratibu za kisheria?