Wakili Mwale aibwaga tena Serikali, Jaji adai mawakili wa Serikali walikurupuka

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Wakili maarufu nchini,Median Mwale ameibwaga serikali kwa mara nyingine na kutakiwa kukabidhiwa magari yake ya kifahari yanayoshikiliwa katika ofisi za TRA jijini Arusha.

Hukumu hiyo nimetolewa na jaji wa mahakama kuu kanda ya Arusha kakusulo Sambu huku akisisitiza mawakili wa serikali ni mbumbu wa sheria na walikurupuka kupeleke shauri hilo mahakamani.
 
jee kesi ya fedha chafu 18bn ameshinda au bado inaendelea?wana jf mwale anaweza sema pesa zote hizo kapata wapi?
 
source pls
kashinda kesi zote au ni ipi unazungumzia
kwnai ana mashtaka mengi
 
Hili ni tatizo lingine linaloitafuna nchi. Wanasheria na mawakili wa serikali, tena serikali zote, yaani kuanzia serikali kuu hadi ya mtaa, hakuna kesi wanazoshinda zaidi ya zile za uchaguzi. Utadhani wakianza kazi taaluma inayeyuka?
 
Wakili maarufu nchini,Median Mwale ameibwaga serikali kwa mara nyingine na kutakiwa kukabidhiwa magari yake ya kifahari yanayoshikiliwa katika ofisi za TRA jijini Arusha.

Hukumu hiyo nimetolewa na jaji wa mahakama kuu kanda ya Arusha kakusulo Sambu huku akisisitiza mawakili wa serikali ni mbumbu wa sheria na walikurupuka kupeleke shauri hilo mahakamani.

Mawakili wengi wa serikali elimu yao ni ya kuunga unga tu ndo maana wanabwagwa sana
 
Taarifa haijakamilika hii.. funguka taratibu na kwa ufasaha.. je kaachiwa huru na hana kesi ya kujibu au kapangua kifungu kimoja tu?
 
Back
Top Bottom