Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,906
- 10,390
Mambo yanayoendelea katika nchi yetu kwa sasa hususan katika suala la mkataba wa bandari halivumiliki, na sisi kama Watanzania ambao tuna wajibu wa kusema ukweli na kulinda raslimali za nchi yetu ikiwemo bandari tunatimiza wajibu wetu huu adhimu na adimu kwa sababu hakuna mwingine kutoka nchi nyingine atakayekuja kufanya wajibu huu.
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka