Wakenya Wanatumia Nguvu ya Umma Kupinga Hali Ngumu Ya Maisha

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Hali ngumu ya Maisha nchini Kenya inawalazimisha wakenya Kutumia nguvu ya umma kuishinikiza serikali kuweka jitihada zaidi kupunguza bei za mafuta. Hapa nchini wana blogu kadhaa,hasa Issa Michuzi na Mohammed Dewji walitoa changamoto kwa serikali yetu kufuta kodi ya mafuta angalau kwa muda ili kuleta unafuu kwa wananchi ambao wanaumizwa na hali ngumu ya maisha
Kenya Source: The Standard | Online Edition :: Uhuru fends off public discontent fends off public discontent

Tanzania Source: Mohammed Dewji Blog » Blog Archive » IS PETROLEUM TAX MORATORIUM (FREEZE) NECESSARY TO EASY ECONOMIC HARDSHIP…??!!
 
Back
Top Bottom