Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,947
33,558
Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,

Yani Rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je, mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?

Je, mmesikia hata malumbano ya maneno?

Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
 
Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?

Unaongea mambo tulifanya 1979. Si uongee ya hivi majuzi mulivyowaibia Wapinzani Kura?
 
Kwani tukio kama hilo lilifanyika lini nchini Kenya? Nadhani ni mwaka wa 1978, Mzee Jomo Kenyatta alipoaga dunia na urais ukakabidhiwa Daniel T. Arap Moi. Mlisoma kwenye kumbukumbu zipi hizo za historia kwamba kulikuwa na vurugu au umwagikaji wa damu?

Tena enzi hizo ndio marais walikuwa miungu watu, sio hawa wababe feki wa enzi hizi. Mnasikitisha sana mataga, itawachukua muda mrefu sana kurudiwa na akili timamu.
 
Kwani tukio kama hilo lilifanyika lini nchini Kenya? Nadhani ni mwaka wa 1978 Mzee Jomo Kenyatta alipoiaga dunia na urais ukakabidhiwa Daniel T. Arap Moi. Kwani mlisoma kwenye kumbukumbu zipi hizo kwenye historia kwamba kulikuwa na vurugu au umwagikaji wa damu? Tena enzi hizo ndio marais walikuwa miungu watu wa kweli sio wa hawa wababe feki wa enzi hizi.
Unaongelea kipindi cha chama kimoja?

Wakati huo kwanza watu walikuwa bado na mentality za kikoloni wajinga wakiwa wengi! ongelea mambo ya kuanzia miaka ya 1995 na kuendelea
 
Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?

Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
mkuu,, yaani huwezi subiri tumalize kuomboleza kwanza?
 
Hatunaga mda wa kufuatilia mambo ya Kunyaland we are contented.
Kwani tukio kama hilo lilifanyika lini nchini Kenya? Nadhani ni mwaka wa 1978, Mzee Jomo Kenyatta alipoaga dunia na urais ukakabidhiwa Daniel T. Arap Moi. Mlisoma kwenye kumbukumbu zipi hizo za historia kwamba kulikuwa na vurugu au umwagikaji wa damu?

Tena enzi hizo ndio marais walikuwa miungu watu, sio hawa wababe feki wa enzi hizi. Mnasikitisha sana mataga, itawachukua muda mrefu sana kurudiwa na akili timamu.
 
Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?

Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
Usiyoyajua.Ungejua genge lenu la vibaka wa CCM walichotaka kupindua ungetuliza kiuno.Pole sana na shukuru mabaka😂😂😂😂
 
Unaongelea kipindi cha chama kimoja?

Wakati huo kwanza watu walikuwa bado na mentality za kikoloni wajinga wakiwa wengi! ongelea mambo ya kuanzia miaka ya 1995 na kuendelea
Naam, ndio Tanzania ya enzi hizi hiyo. Bunge la chama kimoja kwa zaidi ya asilimia 90. Katiba ambayo mnaitumia ndio ile ile mlioandikiwa na mabeberu. Kilichobadilika tu ni kubebewa akili kwa sana, eti hadi mnapiga nyungu kwenye hospitali kisa mzee amesema Corona ni kaugonjwa kadogo.
 
Back
Top Bottom