Wakenya Bana!

Wakenya sijui wanaringa nini jamani...ni masikini wa kutupa..washamba...wachafu...wabaya..roho mbaya...hawatupati kwa lolote...eti english? wanaongea english vibaya kama wanaongea kijaluo au kikikuyu...mavi yao
 
Sio kweli bwana, mbona mi nimehishi nao wengi sana
Kweli nimekutana na ambao wako hivo (hata TZ tunao)
Ila nimekutana pia na wengi walio wakarimu na waelewa
They don't act superior wala nini. don't generalize please

Lakini sifa ya wakenya si unaijua in general? We sema una bahati tu bibie. Kuna mwingine mie ni chepoo yangu ipo kwenye ile supa maketi yao waliyofungua, akaja na maneno yake siku moja nilimuweka sawa akaelewa. Sasa hivi tunaelewana na kuheshimiana na anawaheshimu mashemeji zake watanzania.
 
mwali mi nimeishi nao nairobi miaka 4 wakenya sio kabisa wabinafsi kweli kweli wanatudharau sana watanzania wanatuambia waswahili watu wa maneno mengi kama watu wa coast yani coast kwao ni watu wa mombasa kuna mmoja kanipigia simu kanambia naskia kanumba kafa kafa kanumba ni nani nikamwambia nikamwambia kanijibu mi nilikuwa simjui and siwezi poteza mda wangu kuangalia movie za tz nilimkatia simu then nilimaind sana.
 
Sio kweli bwana, mbona mi nimehishi nao wengi sana
Kweli nimekutana na ambao wako hivo (hata TZ tunao)
Ila nimekutana pia na wengi walio wakarimu na waelewa
They don't act superior wala nini. don't generalize please
kweli Mwali, kuna wadada zaidi ya watatu nimefanya nao kazi mbalimbali katika consultant firm tofauti tofauti, walikuwa na heshima sana, na zaidi ya yote walikuwa wananiheshimu na kunithamini sana. Mambo mengi yakiwashindwa walikuwa wanakuja kuniuliza na hadi leo wanaendelea kuniconsult kwa mambo mengi tu. Na sijawahi hata siku moja ambapo walionyesha dharau kwangu. Mimi nafikiri tuseme kwamba hiyo ni tabia ya mtu binafsi tu, na si ya wote.
 
nadhani unakumbuka wosia wa baba wa taifa letu j.k. nyerere..."mtu akijua una-akili na akakuambia upuuzi na anajua fika kuwa una-akili zako timamu ukaukubali upuuzi wake ..ATAKUDHARAU"

Same applies to kenyanz na wewe hayo maeneo niliyo-bold its very true and obvious kuwa walikuambia upuuzi ukaukataa then wameamua kukuheshimu...na pia nahisi kama hao wakenya wako hawajaenda shule zao zinazowafanya wajiamini kuwa wao ni agressive kuliko wa-tz.... hao lazma ni graduates wa UDSM....lazmaaa tuu mie nawajua.
 
Wakuu niombe radhi kwa kuleta hii mada muda huu ambao tupo kwenye dimbwi la mawazo juu ya mustakabadhi wa taifa letu!
nimeamua kuleta hii kwa sababu leo ni weekend ebu tukae tuongee kuhusu maisha yetu ya kawaida huku tukijipumzisha kwa mawazo yanayotupa tabu kweli kweli?

nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vinne, sina familiya naishi peke yangu, nikaamua kupata mtu wa kushare naye, mimi nikachukua sitting room na master bedroom, akaja mtu mmoja ninayemjua akaniletea dada wa kikenya, kwanza nilishtuka halafu moyoni nikasema hii hapana siwezi kuishi na mkenya hata kidogo, baada ya yule dada kuleta story nyingi sana jinsi alivyo smart na msomi na amekaa sana ulaya na sehemu mbalimbali hapa tanzania nikajikuta namkubalia kuishi na mimi

sasa huu ni mwezi wa pili tangu tumeanza kuishi,kwa kweli dada anakera mno,yaani wakuu dada zetu watanzania ni watu wazzuri sana ndio sasa naanza kujionea,kuna kitu ametuonyesha live""eti mbona watanzania hawajui mambo mengi" "utasemaje maneno kama hayo mbele ya wenye nchi yao!!kwa ujumla kwa jinsi tunavyoishi ni kama yule dada ni fake sana, yaani shes not original, mambo yake anayofanya ni kuiga na kujiweka sana tofauti na sisi tunaoishi naye,yaani nimechoka ndani ya miezi miwili tuuu!!

Eee mungu nisaidie usijaribu kufanya makosa kama haya kama unataka kuishi vizuri,kwa sasa hivi namtafutia kona ya kumbana mpaka aondoke zake

mkuuu..naomba uni-pm namba ya huyo jirani wako wa kikenya nikusaidie kumuonyesha watz tunajua mambo mengi na tuna digrii za ile kitu ambayo hata shule alikosoma hajawahifunzwa...

psee mkuu ni-pm namba yake just for the honor of my bongoland country over this disgrace
 
nadhani unakumbuka wosia wa baba wa taifa letu j.k. nyerere..."mtu akijua una-akili na akakuambia upuuzi na anajua fika kuwa una-akili zako timamu ukaukubali upuuzi wake ..ATAKUDHARAU"

Same applies to kenyanz na wewe hayo maeneo niliyo-bold its very true and obvious kuwa walikuambia upuuzi ukaukataa then wameamua kukuheshimu...na pia nahisi kama hao wakenya wako hawajaenda shule zao zinazowafanya wajiamini kuwa wao ni agressive kuliko wa-tz.... hao lazma ni graduates wa UDSM....lazmaaa tuu mie nawajua.

You are very right.
 
Wakuu niombe radhi kwa kuleta hii mada muda huu ambao tupo kwenye dimbwi la mawazo juu ya mustakabadhi wa taifa letu!
nimeamua kuleta hii kwa sababu leo ni weekend ebu tukae tuongee kuhusu maisha yetu ya kawaida huku tukijipumzisha kwa mawazo yanayotupa tabu kweli kweli?

nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vinne, sina familiya naishi peke yangu, nikaamua kupata mtu wa kushare naye, mimi nikachukua sitting room na master bedroom, akaja mtu mmoja ninayemjua akaniletea dada wa kikenya, kwanza nilishtuka halafu moyoni nikasema hii hapana siwezi kuishi na mkenya hata kidogo, baada ya yule dada kuleta story nyingi sana jinsi alivyo smart na msomi na amekaa sana ulaya na sehemu mbalimbali hapa tanzania nikajikuta namkubalia kuishi na mimi

sasa huu ni mwezi wa pili tangu tumeanza kuishi,kwa kweli dada anakera mno,yaani wakuu dada zetu watanzania ni watu wazzuri sana ndio sasa naanza kujionea,kuna kitu ametuonyesha live""eti mbona watanzania hawajui mambo mengi" "utasemaje maneno kama hayo mbele ya wenye nchi yao!!kwa ujumla kwa jinsi tunavyoishi ni kama yule dada ni fake sana, yaani shes not original, mambo yake anayofanya ni kuiga na kujiweka sana tofauti na sisi tunaoishi naye,yaani nimechoka ndani ya miezi miwili tuuu!!

Eee mungu nisaidie usijaribu kufanya makosa kama haya kama unataka kuishi vizuri,kwa sasa hivi namtafutia kona ya kumbana mpaka aondoke zake

Angalia sana, asije kuwa msanii wa bongo fleva huyo we ukidhania ni mkenya. Wasanii wa fleva ndivyo walivyo kuiga kila kitu kama vile kuvaa makoti ya fur wakati wako Dar na kuongea broken English ili waonekane watu wa matawi. Pole mwana JF mwenzetu.
 
huyo ndo mkenya bana!!!
usiseme alikuomba umsindikize maliwatoni wa manane akiwa kavaa kibana misuli?!:smile-big:
 
mwali mi nimeishi nao nairobi miaka 4 wakenya sio kabisa wabinafsi kweli kweli wanatudharau sana watanzania wanatuambia waswahili watu wa maneno mengi kama watu wa coast yani coast kwao ni watu wa mombasa kuna mmoja kanipigia simu kanambia naskia kanumba kafa kafa kanumba ni nani nikamwambia nikamwambia kanijibu mi nilikuwa simjui and siwezi poteza mda wangu kuangalia movie za tz nilimkatia simu then nilimaind sana.

Tuache kupotoshana jamani. Wakenya wengi wana mapenzi na sie watz ila kuna baadhi yao ndiyo wakorofi. Kwani hata kule Kenya wenyewe wanadharauliana na uheshimu watu wa nje zaidi na watz tukiwemo. Plz acheni ku generalize hivi vitu. Jirani zetu wengi mbona wanatushangaa kwa ujinga tulionao (kukubali kuitwa wapole na viongozi wetu huku wakituibia nasi tunawaangalia tu). Kiukweli wabongo tumelala sana tofauti na nchi zilizo jirani nasi. We angalia hata katika ufanisi wa kazi hapa Dar, foreigners ndiyo wanafanya kazi kwa uhakika na uelewa zaidi shinda wabongo. Utakuta mtu katoka chuo kikuu lakini he or she doesn't know how to express themselves. I worked with some of them while in Dar some years back. Huo ndiyo ukweli! Wabongo lazima tukubali kuambiwa ukweli tusipende sifa za kijinga tu. tuamke, marehemu Marijani aliimba hii "Kumekucha, jamaaa Kumekuchaaa."
 
nadhani unakumbuka wosia wa baba wa taifa letu j.k. nyerere..."mtu akijua una-akili na akakuambia upuuzi na anajua fika kuwa una-akili zako timamu ukaukubali upuuzi wake ..ATAKUDHARAU"

Same applies to kenyanz na wewe hayo maeneo niliyo-bold its very true and obvious kuwa walikuambia upuuzi ukaukataa then wameamua kukuheshimu...na pia nahisi kama hao wakenya wako hawajaenda shule zao zinazowafanya wajiamini kuwa wao ni agressive kuliko wa-tz.... hao lazma ni graduates wa UDSM....lazmaaa tuu mie nawajua.
Umenichekesha sana "eti graduates wa UD" mweee!! But ni graduates wa vyuo vya maana kabisa tena vya ulaya. Mmoja tu kati yao ndiyo graduate wa Kenyatta university.
 
Tuache kupotoshana jamani. Wakenya wengi wana mapenzi na sie watz ila kuna baadhi yao ndiyo wakorofi. Kwani hata kule Kenya wenyewe wanadharauliana na uheshimu watu wa nje zaidi na watz tukiwemo. Plz acheni ku generalize hivi vitu. Jirani zetu wengi mbona wanatushangaa kwa ujinga tulionao (kukubali kuitwa wapole na viongozi wetu huku wakituibia nasi tunawaangalia tu). Kiukweli wabongo tumelala sana tofauti na nchi zilizo jirani nasi. We angalia hata katika ufanisi wa kazi hapa Dar, foreigners ndiyo wanafanya kazi kwa uhakika na uelewa zaidi shinda wabongo. Utakuta mtu katoka chuo kikuu lakini he or she doesn't know how to express themselves. I worked with some of them while in Dar some years back. Huo ndiyo ukweli! Wabongo lazima tukubali kuambiwa ukweli tusipende sifa za kijinga tu. tuamke, marehemu Marijani aliimba hii "Kumekucha, jamaaa Kumekuchaaa."
Juu ya uzezeta wetu hata wanyarwanda wanatusema sana. Ninamshukuru Mungu kwamba nimebahatika kuwa na watu wa mataifa yote yanayotuzunguka katika mazingira mbaliambali. Wanaotuogopa hadi kesho ni waganda na Wazambia kidogo. Hao pekee ndiyo salute kwa watanzania. Lakini wengine wote wanatuona watanzania watu tuliolala sana. Na huu ndiyo ukweli. Hatuhitaji kuupinga maana upo obvious.
 
mi nilikuwa nawambia sitaki kitobo uterezi nataka 0713 tu.wanasema wanipa ngili ngapi ngili ndio elfu moja yao kwetu 20000.
kitobo au kishimo. Wanasema kama ukibamba mtoi from Tz siku hiyo jiandae kufly morning yake. Manake Mtz anajua kudunda ile kitu ile mbaya. ile kitu ni kitobo kama ulivosema au kishimo kama nlivosema.Kufly manake kwenda mwezini.
 
Acheni chuki ndugu zangu, assumptions na stereotyping ni nyingi sana humu dhidi ya wakenya, yani mnataka kumaanisha hakuna wakenya wazuri? Mimi nimeoa huku Tanzania, kwani bibi yangu na jamaa zake walikuwa wajinga kunikubali niwe moja wa familia yao? Tusipoteze mda tukijadili mambo ya urongo na ya chuki dhidi ya watu wengine, mtoa maada anaonekana hana guts za kumfukuza huyo mwanadada kutoka kwa nyumba yake, sitashangaa huyo mwanadada hana hata habari kuwa host wake hampendi na anamponda huku kwenye blog sites. Its a cowardly move to discuss someone in these blogs while you haven't tried to sort out the issues with them, isitoshe ni mwanamke na ni mgeni, I thinks she deserves a better room mate than you. Na ukiona amekudharau ni kwa kuwa haezi strike any intelligent discussion with you, wewe story zako ni za vijiweni, concluded this immediately I read your post, dume la haki haliwezi jadili mwanamke kwenye mtandao, mketishe chini umwongeleshe, la sivyo mfukuze, kwani nyumba ni yako.
 
EAC communityyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.....federation oyeeee?mimi:nono:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom