Wake wawili keli inawezekana

Kama mlo wako ni chps yai usithubutu kuoa wake wawili na zaidi .......utapigiwa
 
Wewe unamjua yupi?.

Hivi hayo matamanio ambayo 'Mungu kamuumbia' mwanadamu ni ya wanawake tu?

Hayako kwenye mali au vitu pia?

Au wanawake wenyewe hawakuumbiwa hayo matamanio?

Tunaambiwa shetani ALITAMANI kuwa kama Mungu wakati akiwa malaika, sasa kama ni kitu kizuri kutamani (maana alivyoumba Mungu vyote ni vyema), then kwanini alimuadhibu shetani kwa kutamani kuwa kama Mungu?

Kwakukiri madhaifu kamwe hamtaacha kuwa dhaifu; halafu mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu!
 
Back
Top Bottom